Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

Status
Not open for further replies.

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,879
2,000
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Dr.Wilbroad Slaa amesema Zitto anaweza kufukuzwa kabisa na amewaonya wafuasi wake waache kutumika kwa kusainishwa document fake, "nawaonya mnaomshauri mnaweza kumpoteza huyu kijana", alisema Dr.Slaa.

Pia, Dr.Slaa amesema yeye kama katibu mkuu hajatoa form zozote zinazodaiwa kuoka makao makuu ambazo zinasambazwa ili zisainiwe.

Dr. Slaa katoa kauli hiyo leo mkoani Tabora wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara.

CHANZO:ITV
 

talentbrain

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,166
2,000
Ha ha ha kwani anahusika na hiyo petition? Haha woga mwingine huo. Zitto is a decent.
 

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
1,500
Afukuzwe tu huyu ndondocha kazidi sana haheshimu Chama chake wala viongozi wake hivi hawaoni kina Mwingulu Mchemba na ugonjwa wake wa akili lakini anaheshimu chama chalke na viongozi wake japokuwa ni wango'a kucha na meno ya waandishi wa habaari na Ma Dr ambao wanataka nchi iwe na uhakika wa wagonjwa na kuwe na vitu ambavyo vinakizi mahitaji kwenye Mahospital.

Sasa kwa Zitto Zuberi Kabwe hakuna la zaidi AFUKUZWE TU na ATAFUKUZWA TU kama mtabisha basi tieni pesa.Huyu jamaa kapoteza channel kwa kwenda kwa kuamini wale Ma DR wa tunguli na ndio wanaomharibia kila uchao mkumbuke wale Wachawi hawawezi kufanya mambo mazuri hata siku moja kwa wao wenyewe hali mbaya sasa watakufanyiaje wewe uwe kamili kado.

Wao wanaweza kuharibu tu na si kutengeneza.
 

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,876
2,000
katibu mkuu wa chadema,dr.slaa amesema zitto anaweza kufukuzwa kabisa na amewaonyo wafuasi wake waache kutumika kwa kusainishwa document fake, "nawaonya mnaomshauri mnaweza kumpoteza huyu kijana",alisema dr.slaa.

Chanzo:itv

Dr.W.Slaa anajaribu kisema kila kinacho fanywa na wanao mpenda na kimuunga mkono zitto basi kime andaliwa na zitto?

Dr.W.Slaa atwambie ni kipengele gani na ni sheria hipi inatoa nafasi mtu kuhukumiwa kwa kosa la mwingine?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema kamati kuu yote itakubaliana na mawazo yake ya kumfukuza mtu kwa kuwa wafuasi wake wanataka kuandamana na wameandaa document za kusaini?

Dr.W.Slaa anajaribu kutwambia kamati kuu yote ina fikiri kama yeye na itafanya maamuzi kilingana na matakwa yake?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema wafuasi wake wanao mtukana zitto au watu wengine huwa ana watuma?
Dr.W.Slaa kwanini unajaribu kuonesha umeiweka kamati kuu mfukoni.
 
Last edited by a moderator:

zinc

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,389
2,000
acha uongo kijana hiyo itv ya kwako pekeyako au

Hata mimi nimemsikia Dr Slaa kwa masikio yangu kupitia ITV ya Dr Mengi. Zitto anaponzwa na mtandao wake ambao pengine anaujua au haujui pia kwa sababu ya u much know wake.
 

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,876
2,000
afukuzwe tu huyu ndondocha kazidi sana haheshimu chama chake wala viongozi wake hivi hawaoni kina mwingulu mchemba na ugonjwa wake wa akili lakini anaheshimu chama chalke na viongozi wake japokuwa ni wango'a kucha na meno ya waandishi wa habaari na ma dr ambao wanataka nchi iwe na uhakika wa wagonjwa na kuwe na vitu ambavyo vinakizi mahitaji kwenye mahospital.sasa kwa zitto zuberi kabwe hakuna la zaidi afukuzwe tu na atafukuzwa tu kama mtabisha basi tieni pesa.huyu jamaa kapoteza channel kwa kwenda kwa kuamini wale ma dr wa tunguli na ndio wanaomharibia kila uchao mkumbuke wale wachawi hawawezi kufanya mambo mazuri hata siku moja kwa wao wenyewe hali mbaya sasa watakufanyiaje wewe uwe kamili kado.wao wanaweza kuharibu tu na si kutengeneza.

ina maana wewe unae mtukana zitto umetumwa na dr slaa?maana dr anajaribu kusema mtu atahukumiwa kwa matendo ya wapenzi au wafuasi wake.
 

engmtolera

Verified Member
Oct 21, 2010
5,150
1,250
yawezekana kuna watu wanafanya hivyo ili kuweza kukamilisha kazi ya kumvua uanachama/ili kuweza kupata sababu,maana lolote lawezekana.
 

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,876
2,000
hata mimi nimemsikia dr slaa kwa masikio yangu kupitia itv ya dr mengi. Zitto anaponzwa na mtandao wake ambao pengine anaujua au haujui pia kwa sababu ya u much know wake.

kwa hiyo mtu uhukumiwa kwa matendo ya wengine?

Kwa hiyo wafuasi wa mbowe na dr slaa wanao mtukana zitto wanakuwa wametumwa na wakina mbowe?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom