Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

Status
Not open for further replies.
Kwi kwi kwi kwi kwi angalia povu zinavyokutoka!!!! Kumtetea msaliti katika chama ambacho hakikuhusu kwamba kaonewa na unatoa povu ili abaki CHADEMA!!!! Hivi una akili sawa sawa weye!!!? Inabidi ukapimwe akili yako kwa kutaka kuingilia mambo ya ndani ya chama ambacho hakikuhusu hata chembe. Ndio imeshatoka mtatoa povu kwa miezi chungu nzima ijayo msaliti harudishiwi nyadhifa zake na akiendeleza kibri basi hata uanachama atavuliwa. Mambo ya CHADEMA waachie CHADEMA nenda katoe povu kwenye chama chenu cha wauza unga ambacho kwa sasa kinapumumua kwa mashine.

siko narrow minded kama wewe kibavicha, naangalia mambo kwa mapana yake.
kabla ya 2009 Zitto alikuwa mtakatifu na hero kwa chadema ila alipoenda kuchukua form ya kumchallange mkwe wa hayatulah mtei ndo tunaona haya yote. na tangu kipindi kile mpaka leo bado mnaendelea kumchafua. we all know. tatizo ni uenyekiti. Zitto ni yuleyule ila mnamchafua kwa makusudi. siamini kama kweli kuna mkono wa ccm. hatujasahau yaliyomkuta chacha wangwe kwa kumchallange mkwe wa hayatulah mtei.
kama mbowe anajiamini katika uongozi wake kwa nini amhofie zitto wakati kapu lakura bado lingembeba?
hata kama hatujui kusoma hata picha ukutani hatuioni? funguka, otherwise utatumika sana.
 
Hili la zitto liko wazi hata wenyeji wa mirembe wanalijua.
Kwanini MAGAMBA wanamtetea sana?
Kwanini MAGAMBA inawauma sana?
......NIMESTUKA.....
 
Zito wa leo amebadilika sio yule aliyekuwa mwandishi mahiri kwenye Gazeti la MwanaHalisi.

Wengi tulivutiwa na habari zake,Zito wa Aina hio ameenda wapi? kwa sasa hata kama atajitutumua ili kuzidi kujifunua kwa watu kwamba yu safi ukweli utabakia pale pale ZITO AMEPOTEZA MWELEKEO WA KUWA MWANA SIASA MPINZANI LABDA AJIREKEBISHE,na itamgharimu muda mrefu mpaka kuaminiwa na jamii kubwa ya watanzania tuliomwamini hapo awali.
 
Poleni WanaChadema JF na FB kwa kumjaza Slaa ujinga kuwa atafanya mambo ya kijinga kisha tutamfumbia macho na kumpigia kura za kumwingiza Ikulu 2015 kwa kifupi Dr Slaa asipobadilika anaweza kupata aibu kubwa hapo 2015 zile kura za 2010 zitapungua mno.Asidanganyike na ule umati unaokwenda kumsikiliza akidhani utampeleka Ikulu wengi huenda kujua ana kipi kipya cha kuongea,Tunaopiga kura ni sisi tusioenda kwenye mikutano

Dr Slaa hatagombea urais 2015 na hajawahi usema anautaka urais...na hajasema kwamba atagombea mwaka 2015...CHADEMA ndiyo itakayomchagua candidate wa urais 2015 .........Inaonekana humfahamu kabisa Dr Slaa...sio mtu wa makuu wala kujikweza yule...anajua maana ya utumishi
 
kuhusu huyo zitto mfukuzeni tu haina haja ya kumtungia uongo kwenye mitandao. kwani kamati kuu si yenu, hata mkimfukuza hamna wa kuwahoji.
na kwa bahati mbaya kabisa kumbe na nyinyi ni wachumia tumbo tu kama haya maccm a.k.a chama cha majizi.
eti mnatetea wanyonge! wanyoge wawapi wanafiki wakubwa nyie.

unangea kwa upole ww. Lazima ni gamba tu wewe, limekuingia!
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa umpoteze wewe kama naniii?
 
Gold is gold, zzk is gold
 

Attachments

  • 1387886872615.jpg
    1387886872615.jpg
    16.2 KB · Views: 121
  • 1387886918045.jpg
    1387886918045.jpg
    9.1 KB · Views: 212
  • 1387886950178.jpg
    1387886950178.jpg
    8.8 KB · Views: 211
Hivi sifa kuu ya kuwa bavicha ni kutukana watu?
Kwi kwi kwi kwi kwi angalia povu zinavyokutoka!!!! Kumtetea msaliti katika chama ambacho hakikuhusu kwamba kaonewa na unatoa povu ili abaki CHADEMA!!!! Hivi una akili sawa sawa weye!!!? Inabidi ukapimwe akili yako kwa kutaka kuingilia mambo ya ndani ya chama ambacho hakikuhusu hata chembe. Ndio imeshatoka mtatoa povu kwa miezi chungu nzima ijayo msaliti harudishiwi nyadhifa zake na akiendeleza kibri basi hata uanachama atavuliwa. Mambo ya CHADEMA waachie CHADEMA nenda katoe povu kwenye chama chenu cha wauza unga ambacho kwa sasa kinapumumua kwa mashine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom