mwa 4
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,390
- 754
Hapana. Msipotoshe watu. Tatizo ni arrogance ya Zitto na kujiona yeye ni muhimu kuliko chama.
hapana,usipotoshe tatizo la slaa ni pale yeye anapojifanya yeye kama mungu kuwa hawezi kukosea ndiyo maana anawagandamiza wenzake na kuwanyanysa lakini ajue kuwa zitto ni zaidi ya slaa hata afanye nini.