Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
I don't think so!
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
I don't think so!
Ha ha ha mkuu Lowasa haongei kwa jazba au ni kwamba kichwani mweupe? Teh teh teh mnakazi na huyu mgombea wenu aisee.Nampenda Lowasa maana haongei kwa jazba, anajua kile anachoongea na sio mwongo kama fulani eti mfuko wa cement kuwa 5000 kama kiwanda chake vile
tatizo huwa unazingatia dini ya mtu
Zaidi ya uzushi na data za kupikwa, Slaa ana hoja gani? Atadebate nini zaidi ya kulalamika?
Uwezo wa Slaa kujenga hoja ni mdogo sana, Hapo CHADEMA aliyekuwa tishio kwa ujengaji wa hoja ni Zitto tu!
Washauri wamemuangamiza Lowasa. Kama wangekuwa wana lengo la kumjenga basi ikiwapasa kutambua udhaifu wake na kumshauri kufanya mazoezi ya kuhoji na kuchangia mijadala tofauti bungeni badala yake kazi hiyo wakaacha ifanywe na Lisu na Mnyika.
hiyo hotuba aliyoiandika mwenyewe miezi 6 iliyopita hata kusoma ni shida ndio uwe mdahalo ? leo nimemuangalia huyu jamaa hakika ni mwepesiHivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
I don't think so!
Mkuu,unataka kusema atakayeweza kusimama kwenye mdahalo na Dr. Slaa ndio atakuwa kiongozi bora na atakayewaletea watanzania matumaini ya kupata maendeleo wanayoyataka.
Uwezo wa kujieleza katika midahalo ni kipaji na sanaa kama vipaji na sanaa nyingine lakini kamwe haiwezi kuwa kigezo au sifa ya kiongozi bora,mwenye nia ya dhati ya kufanya mabadiliko.