Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
CCM hawana watu wa kupiga kura humu JF labda wawalipe vizuri kina MSALANI; FaizaFoxy; SimiyuYetu; Sixgate; Erythrocytes; Shonza; n.k
 
Wakati gazeti la Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.

Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.

NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.

------------------------------------------------------------------

*Kwa maoni zaidi ya washiriki wa JamiiForums kupitia ukurasa wa Facebook - Dr. Wilbrod Slaa Vs Edward Lowassa (JamiiForums facebook page)

Khaa!!! Urais upi? Tanganyika? Z'bar? Au muungano?? Katiba bado nyie mmeanza kura. Tujifunze kutumia resources zetu vizuri. Au kama labda mnataka kupunguza stresses hapo sawa
 
Edward Lowassa chaguo la watanzania
 
CCM hawana watu wa kupiga kura humu JF labda wawalipe vizuri kina MSALANI; FaizaFoxy; SimiyuYetu; Sixgate; Erythrocytes; Shonza; n.k

wako wachache sana. Pamoja na multiple ID's zao hawazidi 60.
 
ni dr slaa pekee wa lkutuvusha kwenda kwenye nchi ya maziwa na asali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom