Lowasa tu! Hilo Padri lirudi kanisani tu.
Ujaelewa nini we angalia juu ukipiga kura yako poll zinajihesabu na unaweza ona matokeoHapa huwez pata tathimin unayoitaka andaa utaratibu mwingine
lowasa na Dr slaa nani babu??we punga nn?kumfananisha El na Dr ni sawa na usingz na kifo,Dr atosha kuwa rais wa tz.