Tuache ujinga , hakuna mtu anayestahili kuwa Raisi kutoka CCM labda kama tutakuwa tumelogwa mara ya pili tena kama ilivyotokea 2005! Lakini mara hii tutamung'ang'ania Mungu aliyehai aliokoe taifa hili maana indeed amesikia kilio cha watanzania kwa miaka hii 52 na hasa hii miaka 10 inayoenda kuisha 2015!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.