Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Dr slaa pekee. Ni jembe la ukweli. Ila niulize,kujirudia kupiga kura mnaizuiaje waongoza mjadala?
 
hivi kwanini tunafananisha kichuguu LOWASA na mlima mkubwa DR SLAA ? Hatuoni kama tunaonea ? KUGA MZIRAY au HASHIM RUNGWE ndiyo size ya LOWASA .
 
Mnajiliwaza tu na hizi drama zenu Ndesamburo mwenyewe kageuka mpiga debe wa Lowassa nyie Chadema kata mna nini.
 
Mnajiliwaza tu na hizi drama zenu Ndesamburo mwenyewe kageuka mpiga debe wa Lowassa nyie Chadema kata mna nini.
Tulieni dawa iingie vizuri mtapona tu haraka ya nini wakati bado umelazwa, Dr atakudischarge tu wakati ukifika?
 
unapambanisha WADHAMBI WATUPU.
dogs will never set foot at the STATE HOUSE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom