Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,630
- 164,718
Tuache ujinga , hakuna mtu anayestahili kuwa Raisi kutoka CCM labda kama tutakuwa tumelogwa mara ya pili tena kama ilivyotokea 2005! Lakini mara hii tutamung'ang'ania Mungu aliyehai aliokoe taifa hili maana indeed amesikia kilio cha watanzania kwa miaka hii 52 na hasa hii miaka 10 inayoenda kuisha 2015!
Mkuu,wenye huo uwezo ni mods na siyo mimi.weka radio button watu
waVote kwa kuClick button
ila Dr. SLAA tayari
amejinyakulia kura yake hapa kwangu
Wakati gazeti la Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.
Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.
NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.
Mkuu,nchi hii ina wajinga wengi sana.
Hujaona ya huko Mbeya leo?!
Dr. SlaaDr Slaa anafaa, hatumtaki fisadi sisi
Ile ahadi ya kuhalalisha gongo umeipenda mpaka umekuwa kama mwehu.
Kwako wewe umeona suala la gongo ndio mhimili.
Magamba muda wenu umekwisha. Game over for all witches from lumumba.
slaa baaas