Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
wakati gazeti la nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-ccm wanaotajwa kuwania kuteuliwa na ccm kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa jf kumpambanisha bwana lowassa na dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.

Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.

Nb😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.

lowassa
 
Hii kitu siamini hata kidogo kuna watu wanatumezesha sumu ili tukubali matwakwa yao kama uamini siamini 100 mambo yanaodeal na technology.
 
Duu! nasikitika sijampigia kura Dr wa Ukweh sababu natumia mchina leo!

nenda pale juu kabisa pameandikwa TOUCH bofya hapo, kisha shuka chini kabisa pameandikwa FULL SITE, pabofye hapo na utakuwa tayari kupiga kura yako kwa kwenda kwenye poll moja kwa moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom