DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

Kwa watanzania walivyo wajinga wajinga na wavivu nawashauri wabaki TPA!
Hao DPW sio watu wa mchezo wajiandae kwa mchaka mchaka chinja….kama ni mwizi lazima wakutose baharini hawana mchezo ndio maana wanesema wanaotaka kuajiriwa na sio wanaotaka kuamia maana yake unachagua kuacha kazi TPA au kubaki au kwenda kuajiriwa DPW na utasaini mkataba mpya hapo hautozidi miaka mitano….
Kwa watanzania niwajuavyo watapoteza kazi sana hapo…
 
Kwa mujibu wa mafunzo yaliyotolewa wakati wa elimu ni kuwa hicho kitu hakuna. Ni either ubaki serikalini au uende DPW. Yaani ukiacha serikalini basi unapelekwa moja kwa moja DPW bila hata interview lakini huko DPW utapimwa kulingana na kazi yako na taratibu zao kwani ni private sector
Hapo kwenye kupimwq kulingana na kazi yako ndio patawashinda wengi
 
Hapo ni kusitisha ajira unalipwa mamilioni yako unafanya mambo yako poa.
Ukiingia DP World wakizingua unarudi home kusimamia miradi yako.
Kwa mishahara wanayolipwa TPA hata kama mtumishi kafanya kazi miaka 5 stahiki atakayolipwa ni kubwa akiamua kusitisha ajira
 
Kwa watanzania walivyo wajinga wajinga na wavivu nawashauri wabaki TPA!
Hao DPW sio watu wa mchezo wajiandae kwa mchaka mchaka chinja….kama ni mwizi lazima wakutose baharini hawana mchezo ndio maana wanesema wanaotaka kuajiriwa na sio wanaotaka kuamia maana yake unachagua kuacha kazi TPA au kubaki au kwenda kuajiriwa DPW na utasaini mkataba mpya hapo hautozidi miaka mitano….
Kwa watanzania niwajuavyo watapoteza kazi sana hapo…
Ni sahihi wanaotaka kuahiriwa DP world huyo ni mwajiri hawezi beba madeni ya nyuma Mfano hata uwe wewe umenunua kampuni unawaambia madeni uenu baking nayo wenyewe mimi naanza nao upya mfano unakuta mwajiri aliyepita alikuwa hapeleki michango NSSF hayo yake ndio maana kuwa na mikataba mipya mwekezaji aanze ukurasa mpya na masharti mapya ya kazi
 
Unatoka kwenye permanent and pensionable unakwenda kwenye mikataba ya miaka 2 au 3 huko
Hii kitu nzuri.
Hata Mimi ningekuwa TPA ningeacha chap. Napata milioni zangu nafungua mabiashara maisha yanasonga.
Unaweza kuwa permanent and pensionable lakini ukaishi kimaskini.
Naona watu wanapenda sana kuwa watumishi wa serikali huku hakuna cha ziada.
Mimi suongei nisichokijua , ni mtumishi wa umma tena ni shirika, kazini kuna posho za aina kama 3 hivi kila mwezi lakini ikitokea fursa kama hii ya TPA siiachi
 
Ndio uwe na hiyo akili ya kutumia pesa vizuri.... wengi tunawajua walipewa hayo mamilioni na wamechezea
 
Back
Top Bottom