DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

Kwa nini DP WORLD wasiajiri Wafanyakazi wanaowahitaji kwa kuweka matangazo na vigezo
Kuliko kuwa rubuni wa watumishi wa TPA. Maana waarabu Wana historia mbaya sana ya kunyanyasa Wafanyakazi hasa Waafrika, muda wowote unafukuzwa kazi bila kufuata mashart.

Au TPA na DP WORLD wakubaliane ku-transfer some expert kwa muda wakati huo huo wakiendelea na maslahi yao TPA kuliko huu ulaghai wa kikoloni.
Hapo aya ya mwisho ndo umeua kabisa eti kutransfer expert we toka lini Tanzania ikawa na maexpert ..au unazungumzia hawa wazembe na wala rushwa wazee wa ten percent
 
Baada ya kusitisha mkataba wa ajira na TPA wapo watakaoajiriwa na DP WORLD na wapo watakaoachwa.
 
Kama mfanyakazi wa TPA umesoma hadi chuo kikuu, ni bora uhamie DPW maana naamini hata maslahi na uzito wa CV utaongezeka...
Mkuu kwanza unatakiwa kusitisha mkataba wa ajira na TPA, ndipo DP WORLD waangalie sifa za mfanyakazi wanayemtaka kumuajiri, kwa hiyo unaweza ukasitisha ajira TPA na usiajiriwe DP WORLD.
 
Back
Top Bottom