Tulipokuwa tunapinga wewe ulikuwa unamsifia Tulia AcksonKwahyo hakutakuwa na wajiriwa wapya??
Tulipokuwa tunapinga wewe ulikuwa unamsifia Tulia Ackson
Hapo kwenye kupimwq kulingana na kazi yako ndio patawashinda wengiKwa mujibu wa mafunzo yaliyotolewa wakati wa elimu ni kuwa hicho kitu hakuna. Ni either ubaki serikalini au uende DPW. Yaani ukiacha serikalini basi unapelekwa moja kwa moja DPW bila hata interview lakini huko DPW utapimwa kulingana na kazi yako na taratibu zao kwani ni private sector
Na ndio maana walipewa mafunzo na elimu lakini pia walipata mda wa kutafakari kisha wameambiwa wachague. Uzuri watu waliokuwepo nyakati za kuanzishwq kwa TICTS wapo so wanaweza kupata somo.Hapo kwenye kupimwq kulingana na kazi yako ndio patawashinda wengi
TPA wameshasema kwamba chagua ufanye kazi DP-WORLD au TPA sasa hiyo usiajiriwe wewe umeitoa wapi?Vipi ikiwa utasitisha Mkataba TPA na kisha Usiajiriwe DP World?
Kwani wameguswa wapi?Si tuliambiwa hawataguswa kabisa?
Sasa kuna kipi cha kushtua hapa au mnatafuta kiki.Haya Kumekucha , tulisema tukapuuzwa , Huu ni mwanzo tu
Endelea kutetea kila uchafuSasa kuna kipi cha kushtua hapa au mnatafuta kiki.
Ni sahihi wanaotaka kuahiriwa DP world huyo ni mwajiri hawezi beba madeni ya nyuma Mfano hata uwe wewe umenunua kampuni unawaambia madeni uenu baking nayo wenyewe mimi naanza nao upya mfano unakuta mwajiri aliyepita alikuwa hapeleki michango NSSF hayo yake ndio maana kuwa na mikataba mipya mwekezaji aanze ukurasa mpya na masharti mapya ya kaziKwa watanzania walivyo wajinga wajinga na wavivu nawashauri wabaki TPA!
Hao DPW sio watu wa mchezo wajiandae kwa mchaka mchaka chinja….kama ni mwizi lazima wakutose baharini hawana mchezo ndio maana wanesema wanaotaka kuajiriwa na sio wanaotaka kuamia maana yake unachagua kuacha kazi TPA au kubaki au kwenda kuajiriwa DPW na utasaini mkataba mpya hapo hautozidi miaka mitano….
Kwa watanzania niwajuavyo watapoteza kazi sana hapo…
Hii kitu nzuri.Unatoka kwenye permanent and pensionable unakwenda kwenye mikataba ya miaka 2 au 3 huko
Ndio uwe na hiyo akili ya kutumia pesa vizuri.... wengi tunawajua walipewa hayo mamilioni na wamechezeaHii kitu nzuri.
Hata Mimi ningekuwa TPA ningeacha chap. Napata milioni zangu nafungua mabiashara maisha yanasonga.
Unaweza kuwa permanent and pensionable lakini ukaishi kimaskini.
Naona watu wanapenda sana kuwa watumishi wa serikali huku hakuna cha ziada.
Mimi suongei nisichokijua , ni mtumishi wa umma tena ni shirika, kazini kuna posho za aina kama 3 hivi kila mwezi lakini ikitokea fursa kama hii ya TPA siiachi
Na ukipoteza mamilioni mwisho ni kifo cha sononaNdio uwe na hiyo akili ya kutumia pesa vizuri.... wengi tunawajua walipewa hayo mamilioni na wamechezea