- Thread starter
- #261
Ni kwel unatk kusilim?Kumbe mambo yako hivyo shekhe wangu. Asante kwa elimu hii. Sasa nitaenda kungonoka mtindo mmoja.
Ni kwel unatk kusilim?Kumbe mambo yako hivyo shekhe wangu. Asante kwa elimu hii. Sasa nitaenda kungonoka mtindo mmoja.
Ukweli mchungu ni kwamba: Waislamu ndio watu pekee duniani ambao wanaifuata mafundisho ya dini yao katika maisha yao ya kila siku. Na watu wa dini zingine wao hawafuati mafundisho ya dini zao na mafundisho hayo yamebaki kwenye makaratasi.
Na hili ndio jambo linalowachukiza wengi wasio waislamu duniani kote.
Ni kama vile wanataka tuwe nao sawasawa. Na wakimuona muislamu anakunywa pombe au anafanya maasi mengine basi huyo ndio wanampenda.
Ni bure kabisa mnajisumbua hizo kelele zenu hazitufanyi tukaacha kuifuata dini
Abeg sir kwani huyo Mchengerwa si ni mkwe wa namba one?Huu uisilamu wa Tanzania ni wakitapeli sna ,Morocco ,Egypt saudia ,nkote huko hawaoi wanawake wanne Kwan huku tansani kina mchengerwa anaoa had wanawake watano
Tayari nimesilimu, nasubiri nife katika imani kusudi wale mabikra 72 walioko pepeoni wawe halali yangu 😎.Ni kwel unatk kusilim?
Hongera sana ndugu yangu Mwenyezi Mungu akupe kila hitaji la moyo wako duniani na Akhera Utapata zaidi ya vitu ambavyo hata akili haijawai kufikria pamoja na yote ambayo tumeahidiwa ila ni kama tu kutupa taswira ila kule kuna mambo ambayo hatujawh kuona wala kuhisi kwaiyo karibu sana Kwenye Dini ya Ukweli na Haki 🤝Tayari nimesilimu, nasubiri nife katika imani kusudi wale mabikra 72 walioko pepeoni wawe halali yangu 😎.
Umeshanielewa?
Abeg sir kwani huyo Mchengerwa si ni mkwe wa namba one?Huu uisilamu wa Tanzania ni wakitapeli sna ,Morocco ,Egypt saudia ,nkote huko hawaoi wanawake wanne Kwan huku tansani kina mchengerwa anaoa had wanawake watano
Mimi mwenyewe sikujua kama anao watatu enhee mbeya wa jiji Wanu ni mke wa ngapi?Mchengerwa si ana wake 3?? Hao 5 wamekujaje tena??
Mazingira hufanya binadamu baada ya muda kuacha baadhi ya tamaduni walizozoea.Umejauje kama lingeendelea wakati ni ada yao ? Unaweza kuthibitisha ya kuwa lisingeendelea miaka yote ?
Hatukuzungumzia uarabu na uislam, ilikua kiarabu na waarabu. Umesema Quran ilishushwa kwa kiarabu, ukasema kiarabu sio uarabu. Hapo ndio nilipokataa kuwa huwezi kutenganisha kiarabu na uarabuJibu lako sio sahihi sababu Kuna Waarabu ambao sio Waislamu.
Mada nyingine kivipi? Huo ni mfano kuwa Jambo baya hukomeshwa bila kujali uislam upo au haupo.Hii mada nyingine ambayo inahitaji ushahidi ya kuwa Wamishionary walikomesha utumwa.
Hoja yako hapa Iko wapi ?
Wazungu wanaandika historia kwa kufanya marejeo kutoka kwa waarabu? Kwenye hili bala la giza? Huu uongo gani unaletaSoma Historia kijana usiwe unaandika mambo ambayo huna elimu nayo. Hao wazungu wenyewe wameanza hivi karibuni kuandika historia yao, huku wakitegemea marejeo kutoka kwa Waarabu
Wakoloni wamekuja wamewakuta Waswahili tayari wameshastaarabika. Soma Historia ya Kilwa, soma Historia ya Waswahili. Ndio maana nakwambia mifano unayo itoa ni mfu sababu ni ya uongo na haiendani na uhalisia.
Mbona kama umeandika kwa kupaniki au kobazi zimekupaya,nonueshe kanisa ambalo waumini wake wakike wako uchi.Wakristo Wana chuki kubwa na uislam,,hata mada nyingi humu ni za kuuponda uislam,kero yao kubwa ni kwanini wanawake wa kiislam wanajiifadhi kimavazi, na kwanini waruhusiwe kuoa mke zaidi ya mmoja, wanatamani wanawake wa kiislam watembee uchi Hadi msikitini kama wafanyavyo wanawake wa kikristo kwenda uchi kwenye Ibada,
Na pia wanaume wa kiislam wawe na vimada kuliko kuwa na wake wa ndoa......hii dini ya mazuzu !unakuta jitu Lina elimu linatapeliwa na kina kuhani Musso,au na mwampesa
Achana na habari za Mitume waarabuNa Kwa faida pia ya mdogo wangu Makebo
Inawekezana Wayahudi wakawa 15.
Naweka manabii na Mitume walioko kwenye Quran ambao 21 wametajwa kwenye Biblia.
Ina maana mmewachukua kwa Biblia. Maana waliandikwa miaka 600 kabla ya Uislam.
(Aaah Jibril alimuotesha Mohamed 😁😁😁😁)
Wa kiarabu ni 4. (Wako kwa mabano)
1. Adamu
2. Enock (Idrisi)
3. Nuhu
4. Hudi (muarabu)
5. Swaleh(muarabu)
6. Ibrahimu
7. Luti
8. Ismaili
9. Isaka
10. Yakobo
11. Yusufu
12. Ayubu
13. Shuaibu (muarabu)
14. Musa
15. Haruni
16. Daudi
17. Suleiman
18. Elia (Ilyasi)
19. Elisha ( Al-Yasa)
20. Ezekiel (Dhūl-Kifl)
21.Yona (Yunus)
22. Zakaria
23. Yohana mbatizaji (Yahya)
24. Yesu (nabii Isa)
25. Mohamed (muarabu)
Au kuna ambaye ni jamii ya kiarabu hapo juu hajawekwa kwenye mabano?.
Thanks. I'm absolutely in.Hongera sana ndugu yangu Mwenyezi Mungu akupe kila hitaji la moyo wako duniani na Akhera Utapata zaidi ya vitu ambavyo hata akili haijawai kufikria pamoja na yote ambayo tumeahidiwa ila ni kama tu kutupa taswira ila kule kuna mambo ambayo hatujawh kuona wala kuhisi kwaiyo karibu sana Kwenye Dini ya Ukweli na Haki 🤝
Wewe choko ndio uzao wa wale wazee waliokuwa wanafirwa katika mashule ya misheni miaka ya 60 na 70Usilinganishe Biblia na hiyo takataka Quran. Ukiizungumzia Biblia, zungumzia Biblia, japo kiuhalisia hakuna haja kwa sababu haikuhusu.
Ukiizungumzia hiyo Quran iliyoandika na Mud na kundi lake kuwahadaa waarabu ili waingie kwenye vita dhidi ya wayahudi bila ya woga, ongelea hiyo pekee.
Usilinganishe vitu visivyowianika!
Biblia inahusu ufalme wa Mungu, Quran ufalme wa shetani (Allah the best deceiver), halafu unataka kulinganisha!!
Kwa akili yako unaamini kwa hizi mbwembwe zenu, ni hizi makala za kipuuzi ndiyo zitawafanya watu wote wageuke na kumwabudu shetani?
Yohana 10 :16 ndo inamaliza kila kitu
“Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”
(Mathayo 15:24)
“Huyu alikuwa mtume mwenye nguvu kwa maneno na matendo mbele ya Mungu.”
(Luka 24:19)
Heee kumbe alifuata nyayo za Mama!
😂😂😂😂😂Heee kumbe alifuata nyayo za Mama!