- Thread starter
- #21
Mzee kausome uislam vizuri kisha rudi hapa na kama una bisha lete aya zako namm nilete zangu tuone ukwel upo wapWe ndio una uchungu sana na uislam? Labda kama we ni mwarabu hapo sawa, ila kama we ni mmatumbi ujue unatetea kitu usichokijua. Uislam una wenyewe, sio wewe mmatumbi wa madongokuinama