Nukuu za Yesu zinazothibitisha kwamba alidanganya: Otherwise Tuone TEC isiandike matamko .
Au Omba leo CCM ife tuone
- Yesu akajibu akawaambia, “Amin, nawaambia, ikiwa mna imani wala hamna shaka, hamtafanya tu jambo lililofanywa kwa mtini, bali hata mkiliambia mlima huu, ‘Ng’olewa ukatupwe baharini,’ litafanyika. Nanyi mkiomba lolote kwa sala, mkiamini, mtalipokea.” (Mathayo 21:21–22 NAS)
- Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa. Kwa maana kila aombaye hupokea; atafutaye hupata; naye abishaye hufunguliwa. (Mathayo 7:7–8 NAB)
- Tena nawaambia, ikiwa wawili wenu wakipatana duniani katika jambo lolote watakaloomba, watatendewa na Baba yangu aliye mbinguni. Kwa maana walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo hapo katikati yao. (Mathayo 18:19–20 NAS)
- Amin, nawaambia, mtu yeyote akiuambia mlima huu, ‘Inuliwa ukatupwe baharini,’ wala asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba analosema litatokea, litamtendekea. Kwa hiyo nawaambia, yote mnayoomba katika sala, aminini kwamba mmepokea, nayo yatakuwa yenu. (Marko 11:24–25 NAB)
- Nami nawaambia, ombeni nanyi mtapokea; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa. Kwa maana kila aombaye hupokea; atafutaye hupata; naye abishaye hufunguliwa. (Luka 11:9–13 NAB)
- Na chochote mtakachoomba kwa jina langu, nitafanya, ili Baba atukuzwe katika Mwana. Mkiniomba chochote kwa jina langu, nitafanya. (Yohana 14:13–14 NAB)
- Mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni lo lote mtakalo nanyi mtatendewa. (Yohana 15:7 NAB)
- Si ninyi mlionichagua mimi, bali mimi niliwachagua ninyi na kuwaweka mpate
Unajua nafsi huwaga inajua kila ktu japo porojo zinaweza kuwa nyingi ukwel ni kwamba wanafaham tuuu ukwel ni upi sema ndo ivo ivi kwann hata wasijiulize kuona mtu kutoka katika uislam kuingia ukristo ni kama maajabu ya dunia nzima lakn mtu kutoka popote kuja katk uislam ni jambo la kawaida na mtu anaetoka kweny ukrist anakuja na hoja thabiti kuthibitisha kwann kaamua kuingia katika uislam ila watu wanashikilia misimamo feki ndo wanaibeba na kuiamin Jagina katoa ushahidi wa aya zote mpaka wameukimbia uzi sasa ukwel ndo huo sasa maaamzi yabaki kwenu na watambue kuwa moto wa Mwenyezi Mungu unaunguza ×70 zaidi ya moto wa duniani sasa jichanganye uache kuusoma uislam kwan uislam ni rahisi sana na ni mzur angalia tu kwa mfano una amana yako nani wa haraka katika jamii yako unaweza kumwekesha
Mpe mkrst hatusemi wote ni wabovu ila asilimia nyiiiiingi si waaminif ni kwann???
Hawana sheria yyt au mkazo inayowaMbia juu ya mambo ya jamii zao kwa undani zaidi
Watu wao hao sjui kina Papa wanafanya kwa ajili ya manufaaa yao binafsi na wana mikakati rasm ya kuhakikish wanaufutilia uislam juu ya ardh ila hawawez ndo maana mambo ni mengi ila hakuna cha kuwez kufanya
Wewe nadhani unaishi kwenye Ulimwengu wa giza, ulimwengu wa shetani unazungumza mambo kinyume.
Jielimishe, uujue ukweli:
1. Kuna idadi kubwa ya waislam wanaobadilika kuwa Wakristo kuliko wakristo wanaobadilika kuwa waislam.
Idadi ya waislam inaongezeka kwa sababu ya kuzaliana hovyo, siyo kwa sababu ya watu wa dini nyingine kubadilika na kuwa waislam. Soma hapa upunguze ujinga:
Utafiti iliofanywa na mtafiti wa Kichina Xin Ziaoweng, ni kwamba kwa wastani, kila mwaka waislam kati ya milioni 15 na 16 Duniani kote wanabadili dini na kuwa Wakristo:
Xin Xiaoweng
I just did a thorough research on the phenomenon of Muslims converting to Christianity in Large numbers around the world. Through my research i just found out that 15 - 16 MILLION MUSLIMS CONVERT TO CHRISTIANITY AROUND THE WORLD EVERY YEAR. For PROOF/EVIDENCE OF THIS CLAIM, Please do check out the link that i have posted below.