Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

1.kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa ujumbe wa Mtume Muhammad na mitume wengine ni kutoka kwa Allah na sio mawazo yao Binafsi?

2.Kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa Quran ni ujumbe kutoka kwa Allah na sio mawazo binafsi ya waandishi.?
 
1. Tunaamini kwa sababu Mitume wote ujumbe wao ni kutoka kwa Allah kwa sababu hawakusema kwa matakwa yao, walikuwa waaminifu, hawakutafuta faida binafsi, na ujumbe wao ulikuwa mmoja—kumuabudu Mungu Mmoja.

2. Tunaamini ni kutoka kwa Allah kwa sababu Quran ilitoa changamoto isiyoshindwa, Mtume ﷺ hakuwa msomi, Qurani inamkosoa Mtume, na imehifadhiwa bila kubadilika.
 
Back
Top Bottom