Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Kwanza ngoja nianze na wewe
Wewe mmatumbi weusi tii, pua kubwa na nywele za kipilipili tangu lini umekuwa myahudi tunakuiga ?

Najua uelewa wako ni mdogo.
Ntakuwa nakufafanulia zaid ili upate urahisi wa kuelewa.

Sijasema mmeiga Mmatumbi.
Nimeonyesha kuwa Quran yenu ina mitume 4 tu ya kiarabu.

Kabla ya quran kuja. Watu walikuwa wanahadithiana hizo visa na wakristo walikuwepo.

Nikatoa mfano mtu wa pili kuongea na Mohamed kuhusu wahyi ni Waraqa Nawfal. Binamu wa Bi khadija. Na alikuwa mkristo (mtu wa kitabu).

Huu ni ushahidi tosha kuwa visa vya wana wa israel vilikuwa vinafahamika kwa waarabu.

2. T
Kwa uijnga wako uliolishwa upupu na wachungaji wako, unadhani hakuna kitabu cha Torati kinachojisimamia chenyewe, na Wayahui mpaka leo wanatumia nini?
[/QUOTE/]

☝️☝️☝️ Si mmesema vitabu vimechakachuliwa.. kwahiyo hamviamini.
Ila Sio hoja.

Hoja isimame pale pale.

Uislam unategemea misingi waliyoiweka Uyahudi na Ukristo.

Ww utukane unavyotukana.
Ila kamwe hauwez badilisha hilo.
 
Unahamisha magoli
Wapi nimehamisha magoli? Nilimwambia Engineer juu ya makundi yanayoua wakristo kwa mwavuli wa uidlam. Naye kaniuliza wale waliovamia na kuwaua Wairaq. Mimi nimemwuliza kama waliovamia Iraq lilikuwa ni kundi la Wakristo lililokuwa likua waislam, kama yanavyofanya makundi ya waislam wente misimamo mikali huko Nigeria na DRC. Wewe unasema nimehamisha magoli, ni wapi nimehamisha wakati namtaka mtoa mada atofautishe mauaji yanayofanywa na makundi ya kidini kwa madai ya maelekezo ya dini yao Vs mauaji yanayofanywa na watawala wasio na mwegemeo wa imani yoyote ya kidini, kama ni kuua watamwua yeyote aliye kinyume na matakwa yao, na mara nyingi tawala zao
Kwanza ngoja nianze na wewe
Wewe mmatumbi weusi tii, pua kubwa na nywele za kipilipili tangu lini umekuwa myahudi tunakuiga ?

Halafu umengangania bibilia, unadhani wayahudi wanaamini hio hio bibilia, mpaka leo wanajua upupu wa wazungu na wala hauna nafasi katika dini yao, hujiulizi kwanini ni kama hakuna ukristo Israel na wakristo mpaka leo hii wanapelekewa moto na wayahudi?

Sasa kama wayahudi hawaamini bibillia, Torati inafanya nini kwenye upupu wa bibilia kwa kujipa jina la agano la kale, ina maana bibilia haikamiliki bila Torati, wakati wenye Torati hawaitaki bibilia.

Unaposema Quran imeiiga kwenye bibilia, yaani wewe utoe maandiko ya torati halafu uyapachike kwenye bibilia, na Quran inapo elezea mitume wa zamani wanatumia Torati, hapo ndio useme Quran imetoa maadiko kwenye bibilia,
Kwa uijnga wako uliolishwa upupu na wachungaji wako, unadhani hakuna kitabu cha Torati kinachojisimamia chenyewe, na Wayahui mpaka leo wanatumia nini?
alikudanganya Torati inatoka kwenye bibilia? kweli wagalatia weusi ni vilaza

Wewe ni binadamu mwenye akili timamu? Huwezi kujenga hoja bila ya kutukana? Kwa nini unaiabisha na kuidharaulisha nafsi yako kwa kiwango hiki?

Kama huiamini Biblia, achana nayo. Waachie wanaoiamini. Baadhi ya Wayahudi, tena waliomwona, kumsikia na kushuhudia miujiza mingi iliyofanywa na Kristo, lakini bado walimkataa, wakafanya njama za kutaka kumwua kwa hofu kuwa watu wote watamwamini, sasa wewe ambaye hukumwona Kristo, hukushuhudia muujiza hata mmoja wa Kristo, itashangaza nini ukiikata Biblia, ambayo ni maandiko tu. Wenzako walimkataa Kristo, tena wakiwa wanamwona. Haitatokea watu wote wakalikubali neno la Mungu. Kama wote wakikubali, ina maana utawala wa shetani utapotea. Na utawala wa shetani, kwa kadiri ya maandiko, hautapotea mpaka siku ya hukumu.
 
A.
Alianza na Wayahudi, akamalizia kwa ulimwengu wote.

Yesu alizaliwa chini ya Agano la Israeli (Warumi 15:8).
Ahadi za Mungu zilianza na Israeli (Mwanzo 12:3).
Ndiyo maana alisema:
“ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.” (Mathayo 15:24)

Lakini hiyo ilikuwa hatua ya kwanza, si mwisho.

Baada ya:
kifo
kufufuka
kutimizwa kwa agano

Ujumbe unafunguliwa kwa mataifa yote (Mathayo 28, Luka 24).

Hii si kujipinga, ni mpango unaokua kwa hatua.

Mfano rahisi: Darasa la 1 → Darasa la 7

Sio kubadilika mawazo, ni kuendelea mbele.

B.
Sehemu ya Marko 16:9–20 ina mjadala wa maandishi, lakini agizo la kuhubiri ulimwengu wote halitegemei sehemu hiyo.

Ukweli:
, Marko 16:9–20 haipo kwenye baadhi ya miswada ya kale
lakini:❌Agizo hilo halipo Marko peke yake
Lipo pia:

Mathayo 28:19–20
Luka 24:46–49
Matendo 1:8

Hata kama ungeiondoa Marko 16 kabisa, ujumbe haupotei.

Hivyo kusema “liliongezwa” ≠ kusema “halikutoka kwa Yesu”.

C.
Paulo si mtunzi, ni mpokeaji wa mapokeo.

Katika 1 Wakorintho 15:3 anasema wazi:
“niliyoyapokea…”

Hii ni lugha ya mapokeo ya kale, si ubunifu.

Wanazuoni wengi (hata wasio Wakristo) wanakubali:

Kipande hiki ni cha miaka 2–5 baada ya kifo cha Yesu
Kabla hata Paulo hajaanza huduma yake

Zaidi ya hapo:
Paulo alithibitishwa na Petro, Yakobo na mitume (Wagalatia 1–2)
Kama angeleta “injili tofauti”, angekataliwa

Paulo hakuanzisha Ukristo, aliutangaza.

D.
Kufufuka ni imani ya awali kabisa ya Wakristo, si ubunifu wa baadaye.

Ushahidi:
1 Wakorintho 15 (mapokeo ya mapema sana)
Mashahidi wengi (Petro, mitume, ndugu 500)
Adui wa awali (Paulo mwenyewe) alibadilika
Hakuna mwili uliowahi kuonyeshwa kupinga dai

🔥 Kama kufufuka kingekuwa hadithi:
Wayahudi wangeivunja mapema
Warumi wangeizima kirahisi
Mitume wasingekufa kwa kile walichojua ni uongo

Watu hawafi kwa kile wanachojua ni uongo.

Jamaa unachukua hoja halali za kitaaluma, lakini unazivuta hadi kwenye hitimisho ambalo ushahidi hauungi mkono.

Au kwa lugha ya mtaa kidogo 😄

Ni nusu-mkweli unayevusha mipaka ya ukweli.

Yesu alianza na Israeli kwa mpango, akapanua kwa ulimwengu baada ya kufufuka. Agizo la mataifa yote halitegemei Marko 16 pekee, Paulo hakubuni imani bali alirithi mapokeo ya awali, na kufufuka ni imani ya mwanzo kabisa ya Wakristo.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

A “Yesu alianza na Israeli, baadaye ujumbe ukapanuliwa”​

Hii hoja ina tatizo kubwa la maandiko.

1. Yesu mwenyewe aliweka mipaka WAZI​

Si tu Mathayo 15:24. Pia:

  • Mathayo 10:5–6

    “Msiende kwa mataifa wala msiingie katika mji wa Wasamaria, bali enendeni kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”
Hapa:
  • Hakusema “kwa muda”
  • Hakusema “kwa hatua ya kwanza”
  • Alikataza wazi kwenda kwa mataifa
Kama Yesu alikuwa anajua mapema kuwa ujumbe ni wa ulimwengu wote:

Kwa nini awazuie mitume wake kabisa?

Hoja ya “darasa la 1 hadi 7” ni tafsiri ya baadaye, si maneno ya Yesu.

2. “Baada ya kufufuka, ujumbe ukapanuliwa” – Tatizo​

Hii hoja inategemea maandishi yanayobishaniwa:
  • Mathayo 28:19 → ina mjadala mkubwa wa kihistoria (mf. formula ya Utatu)
  • Luka na Matendo → yaliandikwa baada ya Yesu, si maneno yake ya moja kwa moja
  • Hakuna ushahidi Yesu alisema wazi akiwa hai: “Dini hii ni ya mataifa yote”

Kwetu sisi waislamu ni kuwa

Nabii wa Mungu habadilishi wito wa ujumbe wake baada ya kufa.

Manabii wote:
  • Nuhu → watu wake
  • Hud, Swaleh, Shuʿayb → makabila yao
  • Musa → Bani Israil
  • Yesu → Bani Israil
  • Muhammad ﷺ → wanadamu wote (Qur’an 34:28)

Hapa ndipo penye tofauti .

B. Marko 16:9–20 – Tatizo si Marko peke yake​

Wewe unasema:

“Hata tukiondoa Marko, ujumbe bado upo.”

Lakini hoja yangu si hiyo tu.

Hakuna injili hata moja iliyoandikwa na Yesu au chini ya uangalizi wake.

  • Mathayo → haijulikani mwandishi halisi
  • Marko → si mtume
  • Luka → si mtume
  • Yohana → mjadala mkubwa wa uandishi

Kwa hiyo:

“Yesu alisema…” = mapokeo ya baadaye, si ushahidi wa moja kwa moja

Katika Uislamu:
  • Qur’an → ilihifadhiwa kwa hifdh na maandishi wakati wa Mtume ﷺ
  • Injili → ziliandikwa miongo kadhaa baadaye
Hili ni pengo kubwa la kihistoria.

C. Paulo: “Mpokeaji wa mapokeo” au mbadilishaji wa ujumbe?​

Ndiyo, Paulo anasema:

“niliyoyapokea…”

Lakini swali ni:

Alipokea kutoka kwa nani, na lini?

Ukweli mchungu​

  • Paulo hakumwona Yesu
  • Hakusikia Injili kutoka kwa Yesu
  • Alidai ufunuo binafsi (Wagalatia 1:12)
Katika historia ya manabii:

Ufunuo binafsi unaopingana na manabii waliomtangulia = hatari

Ndiyo maana:

  • Yakobo (ndugu wa Yesu) → alibaki na sheria ya Taurati
  • Petro → alisita sana kwenda kwa mataifa
  • Paulo → alifuta sheria (tohara, chakula, n.k.)
Matokeo:

👉 Ukristo wa leo unafuata Paulo zaidi kuliko Yesu

Yesu:

“Nimekuja kutimiza sheria, si kuibatilisha.” (Mathayo 5:17)

Paulo:

“Hamko chini ya sheria.” (Warumi 6:14)

Huu ni mgongano, si mwendelezo.

D. “Kufufuka = imani ya awali kabisa”​

Ndiyo, ilikuwa imani ya mapema.
Lakini imani ya mapema si ukweli wa kihistoria.

1. Watu hufa kwa kile wanachoamini, hata kama si kweli​

  • Mashahidi wa Yehova
  • Magaidi wa kujitoa mhanga
  • Wafuasi wa dini potofu

Hoja ya:

“hawangekufa kwa uongo”

👉 Inathibitisha imani, si uhakika wa tukio

2. Hakuna shahidi huru asiye Mkristo​

Hakuna Myahudi aliyeona kufufuka
Hakuna Mrumi aliyeshuhudia
Hakuna rekodi ya mahakama au serikali

Ni Wakristo tu wanaosimulia tukio.

Katika historia:

Tukio kubwa bila ushahidi huru = madai, si ukweli thabiti

Unaposema Quran imeiiga kwenye bibilia, yaani wewe utoe maandiko ya torati halafu uyapachike kwenye bibilia, na Quran inapo elezea mitume wa zamani wanatumia Torati,

Uelewa wako wa Dini bado mdogo sana mdogo wangu Makebo.

Quran ina visa vya agano jipya pia. Na sio visa Torat pekeyake

  • Kuna Sura nzima mmemuandikia Mama wa Yesu.
  • kuna visa vya Yesu. Masihi
Actually kwenye Quran hakuna Mtume anayemzidi Yesu. Au kumfikia hata robo.
  • imemtaja Yohana mbatizaji kama Yahya.
  • imewataja wanafunz wa Yesu.

Torat yenu unasema ni kitabu kimoja.
Zaburi pia mnaiamini .
Injili pia mnaiamini.

Sasa unapata wap ujasiri wa kusema mmechukua visa vya mitume kutoka Torati pekeyake.
Au haya ulikuwa haujui?.
 
Wewe ni binadamu mwenye akili timamu? Huwezi kujenga hoja bila ya kutukana? Kwa nini unaiabisha na kuidharaulisha nafsi yako kwa kiwango hiki?

Kama huiamini Biblia, achana nayo. Waachie wanaoiamini. Baadhi ya Wayahudi, tena waliomwona, kumsikia na kushuhudia miujiza mingi iliyofanywa na Kristo, lakini bado walimkataa, wakafanya njama za kutaka kumwua kwa hofu kuwa watu wote watamwamini, sasa wewe ambaye hukumwona Kristo, hukushuhudia muujiza hata mmoja wa Kristo, itashangaza nini ukiikata Biblia, ambayo ni maandiko tu. Wenzako walimkataa Kristo, tena wakiwa wanamwona. Haitatokea watu wote wakalikubali neno la Mungu. Kama wote wakikubali, ina maana utawala wa shetani utapotea. Na utawala wa shetani, kwa kadiri ya maandiko, hautapotea mpaka siku ya hukumu.
wewe kenge kaa kushoto
 
Uelewa wako wa Dini bado mdogo sana mdogo wangu Makebo.

Quran ina visa vya agano jipya pia. Na sio visa Torat pekeyake

  • Kuna Sura nzima mmemuandikia Mama wa Yesu.
  • kuna visa vya Yesu. Masihi
Actually kwenye Quran hakuna Mtume anayemzidi Yesu. Au kumfikia hata robo.
  • imemtaja Yohana mbatizaji kama Yahya.
  • imewataja wanafunz wa Yesu.

Torat yenu unasema ni kitabu kimoja.
Zaburi pia mnaiamini .
Injili pia mnaiamini.

Sasa unapata wap ujasiri wa kusema mmechukua visa vya mitume kutoka Torati pekeyake.
Au haya ulikuwa haujui?.

  1. Qur’an haikubaliani na Injili ya Agano Jipya kama ilivyo leo, bali inathibitisha kuwa Yesu alikuwa Mtume wa Allah, si Mungu wala mwana wa Mungu.
    Qur’an inasema wazi:-
    “Masihi mwana wa Maryam hakuwa chochote ila ni Mtume…”
  2. Kuhusu kusema “hakuna Mtume anayemzidi Yesu kwenye Qur’an” — hilo si kweli.
    Qur’an inasema wazi kuwa Muhammad ﷺ ndiye Mtume wa mwisho na bora, aliyetumwa kwa walimwengu wote, si kwa taifa moja tu kama Yesu alivyotumwa kwa Wana wa Israil.
  3. Yesu ametukuzwa sana kwenye Qur’an, lakini kamwe hakupewa sifa za Uungu.
    Qur’an inakataa wazi:
    • Yesu kusulubiwa
    • Yesu kuwa mwana wa Mungu
    • Yesu kuwa sehemu ya Utatu
    • Haya ndiyo mambo makuu yanayotutofautisha.
  4. Kutajwa kwa Yesu, Yahya na wanafunzi wao hakuthibitishi Ukristo, bali kunathibitisha kuwa Uislamu unaunganisha Manabii wote katika Tauhid (kumpwekesha Mungu mmoja).
  5. Qur’an inawasifu Manabii wote bila kuwafanya miungu, bila kuwatukana, bila kuwapandisha daraja la Uungu. Huo ndiyo uadilifu wa Uislamu.

Kwa hiyo ndugu yangu, tofauti yetu si kumpenda au kutompendelea Yesu — bali ni ni nani Yesu alikuwa hasa.

Wakristo mnasema: Yesu ni Mungu.

Waislamu tunasema: Yesu ni Mtume wa Allah.

Hapo ndipo mjadala ulipo, si kwenye kutajwa kwa majina yao ndani ya Qur’an.

Kwa kumalizia ni kuwa , elimu haipimwi kwa dharau bali kwa hoja.
 
Duh noma sana
Una hitimisho tiari
Hoja zangu hazitabadilisha kitu,
Una tafta ufa?
Mbona nimekujibu ?
Kujibu umejibu kujaribu kukimbia hoja lakini nimekuonyesha kwa uwazi kuwa Yesu hakuja ila kwa wana israeli kama alivyosema mwenyewe na nimekuonyesha hao wanaokutafsiria biblia walivyosema kuwa zile aya za kuwaambia wanafunzi waende kwa watu wote zimeongezwa baada ya yesu kuondoka
 
Najua uelewa wako ni mdogo.
Ntakuwa nakufafanulia zaid ili upate urahisi wa kuelewa.

Sijasema mmeiga Mmatumbi.
Nimeonyesha kuwa Quran yenu ina mitume 4 tu ya kiarabu.

Kabla ya quran kuja. Watu walikuwa wanahadithiana hizo visa na wakristo walikuwepo.

Nikatoa mfano mtu wa pili kuongea na Mohamed kuhusu wahyi ni Waraqa Nawfal. Binamu wa Bi khadija. Na alikuwa mkristo (mtu wa kitabu).

Huu ni ushahidi tosha kuwa visa vya wana wa israel vilikuwa vinafahamika kwa waarabu.

2. T

☝️☝️☝️ Si mmesema vitabu vimechakachuliwa.. kwahiyo hamviamini.
Ila Sio hoja.

Hoja isimame pale pale.

Uislam unategemea misingi waliyoiweka Uyahudi na Ukristo.

Ww utukane unavyotukana.
Ila kamwe hauwez badilisha hilo.

Wanaosema vitabu vimechakachuliwa ni hao wanaotafsiri biblia na kuwaandikia biblia , niwaambie na kuwawekea ushahidi mara ngapi ??
 
Kujibu umejibu kujaribu kukimbia hoja lakini nimekuonyesha kwa uwazi kuwa Yesu hakuja ila kwa wana israeli kama alivyosema mwenyewe na nimekuonyesha hao wanaokutafsiria biblia walivyosema kuwa zile aya za kuwaambia wanafunzi waende kwa watu wote zimeongezwa baada ya yesu kuondoka
Hapana
Wewe ndio huelewi mkuu?
Pole sana
 
Hapana
Wewe ndio huelewi mkuu?
Pole sana
Sielewi kitu gani na kila ulichokiandika nimekujibu na nimekuonyesha ushahidi wa Aya kuwa Yesu hakusema kuwa mafundisho yake yapelekwe nje ya Israeli
 
Back
Top Bottom