Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Mungu mkubwa
Unafikiri akifa mtapata faida gani zaidi ya laana.Utachonga sana lakini kwa sasa ni umbea, udaku na shutuma zisizo na ushahidi wowote ule.
Bad News get well soon Tundu Lissu a true hero Of our country
Sasa unajua sijui sheria ,,lkn naamin sheria IPO wazi ,kosa nalimethibitika unafungwa ,,kosa halijasthibitika unaachiwa huru.
Kwamaelezo yako ,nikwamba Wameonewa nahawana makosa ,, kama wewe ni mwanasheria naunajua sheria IPO wazi na itawakomboa Wasimamie au muungane wanasheria muwasaidie hao ..........wawe huruuu.
Kinyume nahapo serikali yenyewe inaamin kua wanamakosa full stop.
Hakuaminiki,Yaani Inamaana tanzania hakuna hospital ya kutibu majeraha ya risasi
Masikitiko ya watanzania, umeongea nao wote?...Unaposoma huzuni na masikitiko ya watanzania unajisikiaje?...
Yote haya yanatokea awamu hii ya tano.
Hatujawahi kupata furaha ya aina yoyote ile tangu bwana yule aingie madarakani kila kukicha afadhari ya jana.
Ndio hayupo China sasakwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .
Tundu lissu ,angekua CHINA TAYARI ANGEKUA AMENYONGWA .NAHUO NDO UKWELI.
N.B SISHABIKII TUKIO LILOMPATA MAANA NJE YASIASA NIBABA ANAMKE NAWATOTO NANDUGU.
HaiseeSent using North Korean Hydrogen Bomb
Well ,, zilisainiwa nawatangulizi wake ambaye yeye kaona ni nimakosa ,, kaamua kusimamisha ndio tuwe namazungumzo ili tujue muafaka ...sio kutafuta mwafaka alafu same time tukiendelea kupigwa.Hivi hiyo sheria au mikataba mibovu siku mnasaini mlikuwa pande zote mko meza moja, leo unataka kuvunja uko mwenyewe kisa tu wewe ni serikali na hatimaye hata ukishindwa kesi hulipi wewe
Kuna tatizo lolote kwa mikataba mibovu mkikaa meza moja pande zote zinazohusika kueleweshana katika hilo ili kubadilisha mikataba?