DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

SAFI, APELEKWE KWA WASHUA, KUOKOA MAISHA YAKE.

KWA AINA HII YA KUVIZIANA KUTAKA KUUANA BILA SABABU ZINAZOELEWEKA ITATUCHUKUA MIAKA 500 KUFIKIA MAENDELEO YA MAJIRANI ZETU WA KENYA
Siungi mkono lissu kupigwa lisasi Ila hii ya kusema Kenya Wana demokrasia sana napinga, uchaguzi wa Kenya kufutwa maana yake ulikuwa na kasoro kwamba demokrasia ya uchaguzi haikufuatwa, pili mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya aliuawa hata uchunguzi wa kudanganyia watu haukufanyika toka kwa huyo mnayemuita Baba wa demokrasia.
Karibuni tupambane na hali zetu.
 
9eba0298f2c451a61b5dabe6e1cd5cef.jpg
Naamini hali ya Lissu itazidi kuimarika
 
Shusha bunduki chini tubishane kwa hoja.
Sisi sote tunajenga Tanzania moja.
[HASHTAG]#Roma[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Zimbambwe[/HASHTAG]
 
Tundu Lissu amepelekwa Nairobi huku akitoka chumba cha upasuaji mjini Dodoma akiwa ana fahamu!
 
Ee Mungu uwe pamoja na lisu
Sijawahi kutoa machozi lakini taarifa ya mtu huyu imenitoa machozi
Nikuhakikishie tu ndugu machozi yako hayatopotea bure, mie binafsi naona huu ni mwanzo wa mapambano dhidi ya wadhalimu na mafia wakubwa wa taifa hili ambao wamejivika kilemba cha 'watawala'.
 
HATUWEZI KULINDA SHERIA INAYOTUUMIZA. HATUWEZINKUHESHIMU MIKATABA ILOSAINIWA NAWAPIGA DILI NASISI TUENDELEE KUIABUDU .....IVI KWAN NYINYI WAPINZANI SINDO MLIKUAGA MNALALAMIKIA HIIII ????? MMEKUAJI NYINYI ????????.

NANI ALITHIBITISHA KUA HUYO ULOMTAJA ANAVYETI FEKI ???? .NAKAM ANAVYETI.FEKI KWANN UKAGUZI HAUKUMTOA ?.
Hivi hiyo sheria au mikataba mibovu siku mnasaini mlikuwa pande zote mko meza moja, leo unataka kuvunja uko mwenyewe kisa tu wewe ni serikali na hatimaye hata ukishindwa kesi hulipi wewe

Kuna tatizo lolote kwa mikataba mibovu mkikaa meza moja pande zote zinazohusika kueleweshana katika hilo ili kubadilisha mikataba?
 
Hats Nyerere hakuua wazungu ili hoja zake zikubalike. Huyu mwenzetu vipi kulazimisha hoja zake kwa risasi?
Bombadia wee nakupenda sana nipo tayari kuua kwa ajili yako
 
Mkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????


N.b sishabikii tukio lilompata lissu et sababu ni mpinzani wakila kitu chaserikali... Maana nje yasiasa naye anatwgemewa namkewe.,watoto nandugu.

Kama public figure aina ya lissu,anashambuliwa kwa risasi hadharani,vipi kuhusu sisi? Hii dhima inamuangukia Amiri jeshi mkuu kwa kutengeneza mazingira ya uadui.
 
Back
Top Bottom