DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kabisa Mkuu kauli zake huyu zilizojaa chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na sasa kuanza kuigwa na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa. Akemee mara moja hizi chuki anazoeneza nchini kwa kasi ya kutisha.

Kama public figure aina ya lissu,anashambuliwa kwa risasi hadharani,vipi kuhusu sisi? Hii dhima inamuangukia Amiri jeshi mkuu kwa kutengeneza mazingira ya uadui.
 
Ukute Walitaka kumuua ili asihudhurie Mkutano uko Marekani....Endeleeni kumuombea mie bora nimuombee Bata
 
Sasa risai zoooote hizo zilivyominwa na lisilaa likubwa kabisa la kivita, tena hadharani kwenye mtaa wanaoishi watu, mchana kweupeeee, hiyo si ni EXECUTION????
Inasomeka hivi: 'Tuoneni, tunaweza kufanya lolote lile na hatuogopi maana uwanja ni wetu!'
 
Leo hii umeanza kumuita a true hero wakati siku zote huwa unamuita mropokaji? Huu unafiki sio wa nchi hii.
Kuna wakati ndio maana mnaambiwa mnapinga kila kitu. Sasa mtu akichukulia kiubinadamu kuungana unamuita mnafki akikazania kile anachokiamini unasema hana ubinadamu ni nini sasa!! Embu siasa hizi tusizipe kipaumbele tufanye pale zinapohitajika tuu.
 
Back
Top Bottom