DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

kuna siku hii nchi itaingia kwenye dimbwi baya la mauaji. viongozi Wa dini ni wanafiki kupita maelezo. wanasubiri vilio ili wakaseme no mipango ya mungu.
 
lisu huwa ni mkweli..na ukweli ndio umemfikisha hapa
kwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .

Tundu lissu ,angekua CHINA TAYARI ANGEKUA AMENYONGWA .NAHUO NDO UKWELI.

N.B SISHABIKII TUKIO LILOMPATA MAANA NJE YASIASA NIBABA ANAMKE NAWATOTO NANDUGU.
 
Ken Sarowiwa alikua mwandishiwa na mwanaharakati. Lissu ni Mbunge na mwanasheria.
Ken aliuawa. Lissu anataka kuuawa.
Yote haya kwa sababu gani?
 
Mipango ya wahaini hawa wasio na akili huwa hayafanikiwi Mungu atamsaidie jembe lissu aendelee kuwanoa wanasheria wetu sio kumuua watakosa mtu wa kuwabrush
 
kwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .

Tundu lissu ,angekua CHINA TAYARI ANGEKUA AMENYONGWA .NAHUO NDO UKWELI.

N.B SISHABIKII TUKIO LILOMPATA MAANA NJE YASIASA NIBABA ANAMKE NAWATOTO NANDUGU.
Sawa mkuu..sasa si ndio mnaelekea kumuua??? umefurahi sasa? viwanda vimeongezeka?
 
Muhimbili ni rahisi kummaliza maana motive yao asiende marekani kule alikoalikwa. But as far as God is concerned He will protect him because as from now the angels are surrounding him

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani dodoma wameshindwa kummaliza? Acha fikra mbovu. Au huko Nairobi watashindwa? Aina nani kwanza...
.Zaburi 34:19 Mateso ya mwenye haki ni mengi,Lakini BWANA humponya nayo yote.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????


N.b sishabikii tukio lilompata lissu et sababu ni mpinzani wakila kitu chaserikali... Maana nje yasiasa naye anatwgemewa namkewe.,watoto nandugu.
You're simply a walking dead body

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Back
Top Bottom