DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hii nchi tunakoelekea sio kuzuri. Yaani mtanzania mwenzetu anashambuliwa kwa risasi then watu wengine wanakosa utu na kuendekeza chuki za kisiasa au kimtazamo kushangilia au kuandika comments za ajabu ajabu.

Hebu tujitathmini na kujiuliza aliyepigwa risasi angekuwa ni mzazi au ndugu wa karibu ungejisikiaje kuona watu wanashangilia au wanatoa comments chafu baada ya jaribio la kumuua.

Hii sio nchi tuliyoizoea toka enzi za waasisi wetu, hata kama kuna mambo huyapendi toka kwake.. Mungu na atusaidie tubadilike na kuhubiri upendo na amani.
 
Sasa unajua sijui sheria ,,lkn naamin sheria IPO wazi ,kosa nalimethibitika unafungwa ,,kosa halijasthibitika unaachiwa huru.

Kwamaelezo yako ,nikwamba Wameonewa nahawana makosa ,, kama wewe ni mwanasheria naunajua sheria IPO wazi na itawakomboa Wasimamie au muungane wanasheria muwasaidie hao ..........wawe huruuu.

Kinyume nahapo serikali yenyewe inaamin kua wanamakosa full stop.


MIAKA ZAIDI YA 3 KAMA WEWE UNAO USHAHIDI WA UGAIDI JUU YAO KAWASAIDIE POLISI WASHITAKIWE . LAKINI SERIKALI INAENDELEA KUWATESA MAGEREZANI
 
kwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .

Tundu lissu ,angekua CHINA TAYARI ANGEKUA AMENYONGWA .NAHUO NDO UKWELI.

N.B SISHABIKII TUKIO LILOMPATA MAANA NJE YASIASA NIBABA ANAMKE NAWATOTO NANDUGU.
Ndio hayupo China sasa
 
Mheshimiwa tundu lisu, kwanza nakupa pole kwa yaliyo kukuta..

Mimi kwa upande wangu naona ulijisahau sana kuchukua tahadhari kwani upepo ulisha uona unapo elekea..

Hata kama ulichukua tahadhari haikuwa kwa kiwango kinacho takiwa kutokana na mapambano unayo yaendesha kupigania democrasia hapa nchini...

Humuoni mwenzako Gwajima navyo kwenda nao..?!
wanamtamani lakini wsmeshindwaa...

Mungu akuponye huko ulipo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo sheria au mikataba mibovu siku mnasaini mlikuwa pande zote mko meza moja, leo unataka kuvunja uko mwenyewe kisa tu wewe ni serikali na hatimaye hata ukishindwa kesi hulipi wewe

Kuna tatizo lolote kwa mikataba mibovu mkikaa meza moja pande zote zinazohusika kueleweshana katika hilo ili kubadilisha mikataba?
Well ,, zilisainiwa nawatangulizi wake ambaye yeye kaona ni nimakosa ,, kaamua kusimamisha ndio tuwe namazungumzo ili tujue muafaka ...sio kutafuta mwafaka alafu same time tukiendelea kupigwa.

Wewe unaona nisahihi kufanya mazungumzo wakati huo Mali zetu zikiibwa ?¿?¿????

Nilitwgemea tundu lissu kuijua sheria angekua tegemeo letu km taifa atusaidie kuweza kujinyumbua shidi ya HII mikataba sasa naye ndo anaendelea kutumaliza.
 
Huu ni wakati wa kutoa ulinzi kwa makamanda wetu, Habari mbaya kabisa hii nimepokea kwa masikitiko makubwa Sana.
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom