That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,188
- 3,599
Nasubiri ndali amjibu ARASII kwa ngeli tupu...
Ukiomuona nguchilo anatamba Na kubwata ujue yuko karibu Na shimo lake. Kunguru hana kibiongo kama ukiona kibiongo ameinama anaokota kitu.Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.
Mama Samia tuondolee huyu Ndali
View attachment 1851425
Ameshaomba samahani tayari. Itamkosti huko mbeleni aombe Mungu aendelee kupanda juu.Ukiomuona nguchilo anatamba Na kubwata ujue yuko karibu Na shimo lake. Kunguru hana kibiongo kama ukiona kibiongo ameinama anaokota kitu.
Mtaka amejiamini nini kumbwekea waziri?
ThUbutuuu! Yuko MTU nyuma ya mtakaSijui kama atabaki salama. Nahisi kitaota nyasi soon akaungane Chalamila
Mkuu, inaelekea una tatizo binafsi na waziri wa elimu. Kuna msemo wa kiingereza usemao - "All work and no play makes Jack a dull boy". Ulizia maana yake.Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.
Mama Samia tuondolee huyu Ndali
View attachment 1851425
Ukisoma usiku kucha unapata muda wapi wa kutafakari? Ni kukariri, siyo kuelimika.Umeona! Ila inaudhi kudanganya watoto. Sisi tulisoma usiku kucha leo ati saa 9 tu! Big no
Ndalichako mara ngapi anatoa pesa ili aandikwe vizuriMtaka ukae ukijua ipo siku ya kwako yatajulikana, wale influencers unaowalipa mtandaoni kukusifia utawalipa hadi lini?
Mtaka ni kiongozi wa hovyo sana ambae anatumia kuchangia na kulipa watu wenye ushawishi mtandaoni ili wamsifie huku yeye akiendelea kupiga madili. Ipo siku mama Samia atakumulika, muda utasema
Yes..Naona Ndalichako ametuma mawakili wa kutosha kumsema Mtaka
Mama Ndali hamna kitu yuleMpaka lini mtaona haya kumtaja mvurugaji? Ndalichako ni hovyo!
Ila tabora girls na boys aina ya wanafunzi wanaoenda pale ni wazur shule ina walimu wazoefu, mazngira mazur na pia hata hao wanafunz wengi wanao uwezo makwaoMkuu wa mkoa hana facts ni siasa tu watoto wanahitaji kupumzika bhana.Mbona Tabora girls na tabora boys zimeshika namba 3&4 kitaifa bila makambi.Aaacha kuja mikakati isiyo na takwimu za ukweli
Haka kama, lakini japo kausema ukweli kule punda kihongwe yule anayejifanya haelewi maisha ya watanzania walio wengi.Yeye wa kwake yupo shule za kata?
Uko sahihi. Hayo ni mawazo yako. Tuliowengi tunaamini yuko smart.Nakataa, Mtaka huo usmart hana na hajawahi kuwa nao.
Mkuu mimi sipo huko.Wewe umesoma shule za kina Junior ndio maana tuulize sisi tuliosoma Kayumba tukusimulie ugumu wa hii elimu ya huku kwetu.
Ndalichako naye ana makosa. Alipaswa kujifunza na kuifahamu vema jamii anayoiongoza pamoja na changamoto zake kabla ya kubwatuka kwa kuwa ni waziri.Mr. Mtaka kachemka...
Si kwa sababu ya alichoongea kuwa hakina maana. Inawezekana ana nia njema lakini si katika namna alivyoi - present hiyo hoja yake na mahali na wakati...
Even though, but he knows what is what to his people.Mtaka watoto wake wanasoma shule za kata? Cheap politics
Tena amewadhalilisha wakuu wa mikoa na wilaya ambao wanapambana kupata matokeo mazuri kwenye maeneo yao kwani walishawashawishi wananchi kukubali kugharamia masomo ya ziada, alijua hilo na bado akathubutu kusema wamepoka mamlaka.Hilo agizo la Waziri wa Elimu lenye lengo la kufelisha kwa kuzuia watoto wasisome baada ya saa 9 lilitolewa kimya kimya au hadharani?
Yeye mkubwa aliwaheshimu wadogo?Waziri hajatoa agizo kwa feelings zake, ipo miongozo ya elimu. Badala ya kushambulia mtu angejikita kwenye mabadiliko kisera na nafasi hiyo anayo. Lakini pia anaweza kuwasiliana na waziri au hata Rais kwa marekebisho kama ana hoja.
Kwanini amdhalilishe waziri? Unajua matokeo ya kauli zake ikiachwa namna hii bila kuwajibika?
Nimesema wewe unajua vyema, Mbowe hata kama akiongea jambo hadharani akakosea kuna mtu pale ufipa anaweza kutoka hadharani kumkosoa akabaki salama? Uongozi una miiko yake lakini tukienda hivi mawaziri wataachia wakuu wa mikoa wafanye wanalotaka.
Mama Samia anapaswa kunyoosha rula. Huu ni utomvu wa nidhamu anapaswa kuchukua hatua ili viongozi waheshimiane otherwise tutasikia mengine na mwisho serikali kuwa dhaifu.