Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Watu serious, wanaojielewa hawatakiwi kwa sasa.......
Kuna nchi zingine pia hazitaki wananchi wao wawe na uelewa,
Kuna kitu muda tu kimeanza sijui kama umekigundua,yaani ni bongo fleva mwanzo mwisho kuanzia kupigwa kwenye media mpaka matamasha yapo kila mara????
Ukichunguza vizuri utanielewa nachomanisha

Ova
Ni wakati wa wasomi kujiunga na bonga movie na bongo flava. Wachache waliosoma wameula.
 
Viongozi wa Tanzania wana Ujinga Mwingi Sana vichwani Mwao

20210620_170759.jpg
 
Mwigulu angepewa wizara ya michezo..

Sasa elimu ya Kodi na Hamisa Mobetto?
Acha kudharau na kuharibu ugali wa wenzio. Kwa taarifa yako, Misa alifaulu darasa la saba na kusoma sekondari ya serikali. Ana akili kuliko wewe, hawezi shindwa kuamwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa lao.
 
Kuna vijana wapo chuo cha Kodi pale ameshindwa kuwatumia kama ni mademu anataka hata pale wapo wakali sana unaanzaje kutumia watu wa kutoa elimu ya Kodi ingali wao pia wanahitaji kuelimishwa kuhusu Kodi?

Nani atakaa kumsikiliza mobetto muuza nyapu kuhusu Kodi?
 
Asilimia kubwa ya watoto sahvi ukiwauliza nani role model wako wanakuambia mondi, sjui kba
Etc unataka kuwa nani ukiwa mkubwa anamtaja msanii fulani😂😂😂😂😂

Tunatengeneza taifa la ----

Ova
Elimu yetu ni bora Elimu. Mwalimu anapewa darasa lina watoto 120. Wamekaa kwenye madawati au wamekalia mawe na matofali ni juu yao.

Sasa watoto 120 unaweza kugundua mwepesi wa kushika hesabu na kusoma vizuri au tu kushika majina yao?
 
Elimu yetu ni bora Elimu. Mwalimu anapewa darasa lina watoto 120. Wamekaa kwenye madawati au wamekalia mawe na matofali ni juu yao.

Sasa watoto 120 unaweza kugundua mwepesi wa kushika hesabu na kusoma vizuri au tu kushika majina yao?
Jiulize watoto wanashika vizuri miziki yote ya bongo flava kuliko mambo yao ya darasani???

Hizi comment zangu hapa mtu mwingine anaweza puuzia lkn ukiingalia kwa upana
Na uelewa,utajua naamanisha nini

Ova
 
Back
Top Bottom