Hio itakuwa ni promotion tu (kuhamasisha watu walipe) ingawa promo nzuri ingekuwa kuona matokeo ya kodi zetu sio watu wanapigika alafu huduma zero...hawa wamesomea elimu ya kodi au waziri analeta mzaha katika kazi.
Dah..dunia ya fanbase hiyo. Yaani vijana wa sasa hivi hakuna mnachojua zaidi ya fanbase!!nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Wanaweza kuuza sura / sura zao zinauzika..., sina tatizo na hio issue, bali ni kufahamu hizo sura wanaziuza kwa kiasi gani na kama ni value for money....Ina maana wao wana uelewa wa masuala ya Kodi kuliko wanaofanya kazi TRA??!!
Kahaba anishawishi kulipa kodi? Hivi Tanzania kwa nini tunataka kuonyesha watoto wetu kuwa watu wanaoishia kwa njia za kijanja janja ndiyo wanastahili kutuzwa?Hio itakuwa ni promotion tu (kuhamasisha watu walipe) ingawa promo nzuri ingekuwa kuona matokeo ya kodi zetu sio watu wanapigika alafu huduma zero...
Atashawishi ma-kahaba wenzake....Kahaba anishawishi kulipa kodi? Hivi Tanzania kwa nini tunataka kuonyesha watoto wetu kuwa watu wanaoishia kwa njia za kijanja janja ndiyo wanastahili kutuzwa?
Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni. Kuna mwenyekiti wa chama kikuu fulan cha upinzani Tanzania elimu yake ni form 4 tu tena kwa kuunga unga, lkn cha kushangaza kweny chama chake anaongoza maprofesa kibao, tena anawaburuza kichizi. Ukiwa na chelete mfukoni elimu haina maana kabisa!
Hao ndo wanaotoa elimu ya walipa kodi?
Mi ndio maana sionagi sababu ya kusoma mpaka nipate PhD maana hata wenye nazo naonaga hawaeleweki nahisi kuna uchawi huko kwenye elimu za juu
Tatizo siyo Fan bas, swali ni Kua ana Elimu au uelewa wa kumuelewesha mtu akaelewa kuhusu inshu ya Kodi?nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Watu serious, wanaojielewa hawatakiwi kwa sasa.......Tungekua serious hizi nafasi zingeshindaniwa na wanafunzi IFM