Hivi Mobeto anajua masuala ya withholding tax kweli?Hivi nikimuuliza mbwana au hamisa masuala ya kitaalamu kuhusu Kodi atanifafanulia?
Acha ubishi kwahyo wanaofanyaga mfano matangazo ya voda huwa ni IT expert wa voda?Sinaga wivu wa kijinga to that extent. Mimi nazungumza uhalisia na ukweli. Kama waona tax haina kimya kiasi yeyote anaweza kuhamasisha, bora tuishie hapa..!!
Kumbuka tu serikali sio business entity kiasi ikahitaji meneja masoko wa kuvutia wateja...!!
Acha ubishi kwahyo wanaofanyaga mfano matangazo ya voda huwa ni IT expert wa voda?
Na unavosema yoyote anaweza kuhamasisha why umpinge mabeto mwenye followers umweke asiye na ushawishi hata kwa mjumbe
Kwani humkubali yule mtotoHuu Ni Ujinga Yani Nikalipe Kodi Kwa Vile Nimeona Sura Ya Mobeto? Like Seriously??
We elewa tu mobeto atakuelimisha namna ya kulipa kodi kwani wewe utaki elimuFoolish! Ukitaka ku-promote kondom hapo sawa! Kodi? Nchi gani duniani unaijua yenye watu wajinga kama wewe na mwigulu kuwa na maono kama hayo?
Fanbase peleka kwenye soka, muziki na kudangaNyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Vyeti wasomi makabatini vyawekwa,chapuo latolewa kwa wasio na uelewa na tahasusi husika,shikamoo TanzaniaHivi kweli Hamisa akakueleze kuhusu elimu ya Mlipa kodi? Kweli?
Kwani elimu ya mlipa kodi inahitaji mvuto wa ngozi na makalio ili mtu aweze kuelewa vema?
Si kuja vijana wengi tu wamesoma Chuo cha Kodi, wapewe hilo chapuo.
Wakawaeleweshe watu mtaani na kuwajibu kwa ufasaha. Pengine makali ya kukosa ajira yangepunguzwa kidogo.
Upuuzi!.