Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,224
- 12,946
Unaposema Dr mpango alikuwa anamtuma Sabaya unapotosha cos hakuna sehemu Sabaya kasema Dkt Mpango alimtuma sehemu zaidi kwakuwa shughuli aliyokuwa anaenda kuifanya ilikuwa inagusa wizara ya fedha ndiyo Dkt Mpango aliijua cos wote ao alikuwa ni mmoja.Hakuna kikichopotoshwa hapa tunajadili kilichoripotiwa. Dr Mpango ni Makamu wa Rais wa Nchi. Hajadiliwi kama Mtu binafsi