YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
- Thread starter
- #21
Kwa sasa kazi ni kujenga miundo mbinu ya utalii kama vile kuanzisha mbuga,kujenga barabara,kiwanja cha ndege karibu na mbuga ambacho tayari kipo Chato ,kuvutia wawejezaji wajenga mahoteli ambayo tayari mengine yameshakamiliki yenye hadhi za kitalii ,wawekezaji makampuni ya tours nkHahaha ndio maana mnakaa UVCC hadi mnazeeka, yani kanda ya ziwa aifanye iwe kivutio cha watalii?!
Mkisikia hivyo akili zinawaruka, kivutio ni nini sasa, nyie WASUKUMA au nini, ziwa au nini kiwe kivutio kwa watalii saa?!
Serengeti ipo hiyo inajulikana, kawaambia nini kitavutia watalii uko kanda ya ziwa mkakimbia mbio kuja kanzisha uzi?!
Hatua hii ya kwanza ikikamilika shughuli ya utangazaji mkubwa ndani na nje utaanza pamoja na kuwa hata sasa kuna utalii tayari lakini mkubwa uko njiani baada ya main logistics kukamilika