Oparesheni 255 yafichua Mazito, 60% ya Eneo la Kanda ya Ziwa Victoria halina Maji safi na Salama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,772
218,394
Kama ulikuwa unadhani kuwa karibu na ziwa ndio kupata Maji basi umekosea, Uchunguzi wetu umebaini kwamba Maeneo mengi ya Kanda ya ziwa Victoria hayana maji safi wala salama.

Jambo hili la kutia aibu limegunduliwa na Team ya CHADEMA inayofuatilia kero za Wananchi kwenye ziara ya Oparesheni 255 inayoendelea kuvurumishwa huko Kanda ya Ziwa, Taarifa zinaonyesha kwamba maji ya ziwa Victoria yanafaidisha zaidi Misri huku wakazi wa kanda ya ziwa wakipiga miayo.

CHADEMA imeahidi kuondoa Jambo hilo siku chache baada ya kutwaa Nchi.

Screenshot_2023-08-09-00-05-15-1.jpg

Hii pia ni kutokana na mikataba mibovu uliyowekwa na wakaloni kwamba maji ya ziwa Victoria yasitumike Tanzania.

Yanaelekezwa huko nje, upo wakati wali lob lob Lowassa akafanikiwa kuyaiba sasa sijui tena ni nini kimetokea.

Hii mikataba matokeo yake ni mabovu.

Hili la bandari nalo litakujq kuwa teso huko tuendako.
 
Ngoja aje.. choiceVariable bingwa wa machawa , mzee wa bahasha na mtetezi lialia wa watawatala!!
 
Hii pia ni kutokana na mikataba mibovu uliyowekwa na wakaloni kwamba maji ya ziwa Victoria yasitumike Tanzania.

Yanaelekezwa huko nje, upo wakati wali lob lob Lowassa akafanikiwa kuyaiba sasa sijui tena ni nini kimetokea.

Hii mikataba matokeo yake ni mabovu.

Hili la bandari nalo litakujq kuwa teso huko tuendako.
Ni upumbavu kukubali kuwa kuna mkataba wa kuzuia usitumie maji uliyopewa na Mungu (asili) nchini mwako. Hizo fikra tusirithishe watoto wetu.
 
Kama ulikuwa unadhani kuwa karibu na ziwa ndio kupata Maji basi umekosea, Uchunguzi wetu umebaini kwamba Maeneo mengi ya Kanda ya ziwa Victoria hayana maji safi wala salama.

Jambo hili la kutia aibu limegunduliwa na Team ya CHADEMA inayofuatilia kero za Wananchi kwenye ziara ya Oparesheni 255 inayoendelea kuvurumishwa huko Kanda ya Ziwa, Taarifa zinaonyesha kwamba maji ya ziwa Victoria yanafaidisha zaidi Misri huku wakazi wa kanda ya ziwa wakipiga miayo.

CHADEMA imeahidi kuondoa Jambo hilo siku chache baada ya kutwaa Nchi.

Nshomile, ziwa wanalo hapo halafu wanalia hawana maji?

Huo usomi wao umewasaidia nini?

cc Anna Tibaijuka
Mama Amon
 
CCM ndio kikwazo
Mie naona kikwazo unajiwekea mwenyewe kichwani kwako.

Kabla ya miàka 40 nyuma kijijini kwetu tulikuwa tuna twtizo la maji,tunachimba visima vya mkono, tunakuw u atuna tatizo.

Tuliopata exposure kidogo, miaka 40 nyuma tukakodi gari la serikali la kuchimba visima vya mashine, AlhamduliLlah mpaka leo hatuna shida ya maji kabisa.

Sasa nshomile wanashindwa mashine za kuvuta maji
ziwani au kuchimba visima?

Shule walienda kusomea ujinga?

Ujinga huo.

Anna Tibaijuka
Mama Amon
 
Back
Top Bottom