Dkt. Magufuli asema Serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa na aeleza kuwa utalii utainua hiyo Kanda kiuchumi

Cheki alivyo na akili Dk Magufuli mapori yalikuwa yakifuga majambazi kaweka mbuga za wanyama ukiingia tu kwenye mbuga kama sio mtalii ni risasi unadungwa PIA hizo mbuga hizo kaona hazina hazina uwanja wa kimataifa karibu na mbuga kaujenga uwanja wa ndege Chato wakitua tu na ndege zao safari kwenye mbuga zilizo jirani na uwanja
Mbuga ya selou ina uwanja gani wa kimataifa!
 
Ina uwanja wa ndege za watalii ndani ya mbuga ,Serengeti pia wana uwanja ndani ya mbuga

kanda ya ziwa hizo mbuga tatu zinakuwa served na uwanja mmoja sababu haziko mbali mbali sana.Chato ndiko kunakuwa jirani kwao wote
 
What a joke before independence kulikuwa na shughuli za kitalii maeneo hayo.
Wewe unafikiri utalii ni kupanda tu mlima wa Kilimanjaro ?Tourism is a combination of many things.
Singapore kaeneo kadogo kama wilaya ya Temeke inapata watalii milioni 20 kwa mwaka.
Bangosha, habari yako
 
Hivyo akaamua kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake!
Halafu atawaamuru watalii waende kumtembelea huko kijijini akichastaafu?
 
Sasa Magufuli kawaambia nini kitakuwa kivutio na nani atakuwa mtalii?!

Watalii wanakuja serengeti kila siku Magufuli ndiye huwaleta?!

Kabla ya Magufuli watalii walikuwa hawaji serengeti?!

Hamna hoja mnabwabwaja tu.
Tunaongelea Mbuga mpya zilizoanzishwa kipindi cha SERIKALI ya awamu ya Tano ya Dr Magufuli kanda ya ziwa
 
Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi.

Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato mjipange upya hayo ni maandalizi kuelekea kukuza utalii mkubwa huko ambao utaongeza mzunguko wa pesa za ndani na za kigeni na ajira.

Mwanza tu pale mbuga ya saa nane Island iliyoko mjini kabisa utalii umeshika kasi kubwa sana baada ya kuhamisha wanyama toka maeneo mengine na kuwapeleka pale.

View attachment 1571327
Na wewe kwa akili yako ndogo ukaamini? Ndio maana Kikwete aliwaambia Akili ya kuambiwa changanya ya Kwako.. Chato ikawe kama Arusha na Kilimanjaro kweli? Yani mtalii atoke London aje Chato kutalii? Huo uwanja wa Chato baada ya yeye kustaafu mtachungia ngombe na mbuzi humo
 
dua la kuku kanda hiyo ya ziwa kuna mbuga zinazoungana hadi na nchi jirani kama zilivyo za serengeti na Kenya watalii waweza anzia Rwanda wakaja Tanzania au wakaanzia Tanzania wakaenda Rwanda.
Hiyo airport ni kwa ajili ya utalii hawaji tu kutalii chato mbuga ya chato ni mojawapo tu ya mbuga kibao zilizoanzishwa ukanda huo
 
Kila la kheri!
 
Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi.

Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato mjipange upya hayo ni maandalizi kuelekea kukuza utalii mkubwa huko ambao utaongeza mzunguko wa pesa za ndani na za kigeni na ajira.

Mwanza tu pale mbuga ya saa nane Island iliyoko mjini kabisa utalii umeshika kasi kubwa sana baada ya kuhamisha wanyama toka maeneo mengine na kuwapeleka pale.

View attachment 1571327
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.

Tundu Lissu anaendelea KUSEMA Watanzania wamepoteza maisha yao na kazi zao:kutokana na rais ambaye hasemeleki hataki kukosolewa, analaumu wengine, anakataa ushirikiano na mpenda chuki.
 
Sehemu ambazo zina asili ya utalii na ambazo hazihitaji nguvu kubwa kuinua utalii katika hayo maeneo zimetelekezwa badala yake wanaenda kutumia pesa nyingi sehemu nyingine...
Mkuu Mikoa hasa ya maziwa makuu ina rasilimali ya madini ila pesa zake zinaenda kuendeleza mikoa isiyokua na kitu km Singida na Dodoma n the likes...Tukiendeleza sera hii unayoisema ya Mwenye nacho aongezewe na asienacho abaki alivyo kuna mikoa itakua na umasikini wa kutupwa maana haina rasilimali...
 
Hivi umenielewa vizuri mkuu
 
Cheki alivyo na akili Dk Magufuli mapori yalikuwa yakifuga majambazi kaweka mbuga za wanyama ukiingia tu kwenye mbuga kama sio mtalii ni risasi unadungwa PIA hizo mbuga hizo kaona hazina hazina uwanja wa kimataifa karibu na mbuga kaujenga uwanja wa ndege Chato wakitua tu na ndege zao safari kwenye mbuga zilizo jirani na uwanja
Ni sheria gani inayosema ukiwa sio mtarii ukikutwa porini unapigwa risasi?
 
Back
Top Bottom