Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,257
- 34,205
Hiyo kozi ya mifupa inaitwa bsc in prothestics and orthotics ...Shukrani Mkuu.
Hapa cha kumshauri atafute kozi zisizofahamika na zenye soko kama hiyo ya mifupa. Nusing na Ukunga nadhani itakuwa na ushindani.
Pia huyu Bi.mdada amedhamiria kuchukua digrii suala la diploma ukimshauri ni kutwanga maji kwenye kuni.
Education nimemuambia asithubutu hata kuiwaza
Nayenyewe nimeangalia wanataka Awe na C ya kemia plus D na E...
Nenda kwenye website ya kcmc utaiona...
Kusema hataki kabisa diploma inaonyesha bado hana akili... We ngoja mambo yatapomfika shingon ndio atajitambua...
Kwa sasa aombe degree na wenda round ya kwanza akakosa, akikosa aombe tena round ya pili na tatu... Na akikosa kote akasome diploma!!