Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,856
- 90,332
- Thread starter
- #21
Degree unaenda ,lakini kwa program yenye ushindani kama medicine utapata shida kidogo but jaribu vyuo kama St Francis na vinginevyo utapata
shukrani mkuu.
vipi kuhusu ishu ya mkopo endapo ataenda hivyo vyuo