Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Daah pole kwanza kwa hayo matokeo nakushaur ufanye application kweny vyuo vya private km hunert kariuki na bugando
 
Sorry kwa kudandia mada. Mjomba wangu aliyekuwa anachukua PCM amepata Physics D, Chemistry D na Mathematics S, je anaweza kupata kozi ya Bsc in Engineering ? Kama jibu ni hapana, anaweza kupata Kozi gani?

Ahsante
 
Hamna haja ya kubadili in my opinion wanagefanya hata c mbili... Vijana wakiwa shule hawasomi kabisa ni upuuzi tu wanaendekeza...

Acha ufala wewe... ivi unazan necta ni babaako ndomana wakaweka minimum two D... nenda kasome wewe tukuone na kujifanya una akili sana umu kwenye uzzi wakat ndo vilaza wenyewe nyie shenzi
 
Acha ufala wewe... ivi unazan necta ni babaako ndomana wakaweka minimum two D... nenda kasome wewe tukuone na kujifanya una akili sana umu kwenye uzzi wakat ndo vilaza wenyewe nyie shenzi
Naona hata hujui kuandika kwa ufasaha na hii ndio sababu iliyonifanya niseme necta wangeweka walau C mbili maana kijana kama wewe ukute umemaliza form 6 alafu hata kuandika hujui.

NB: Huu muda unaopoteza humu ungekaa mezani ujifunze kuandika kwa ufasaha.
 
Sasa Kwan hujaelewa k2 gan apo au we ndo mgawaji marks za wanaotype umu JF [emoji848][emoji848][emoji848]

Tatizo hujajua watu wanavyokomaa na hizi kombi za sayansi na kila mwanafunzi ana uwezo wake wa Kiakili ndio mana TCU waliokuzidi akili wakaweka minimum entrance points

Acha kuropoka...Au unadhan kusoma Sayansi ni kama kusoma magazeti ya udaku yale ya jerojero
 
Mifupa inaitwa Physiotherapy ila nayo iko too competitive. This year wanahitaji candidates below 80 na last time naangalia, waombaji walikuwa zaidi ya 100. Ipo ingine pia ya macho nayo same. Zote ni diploma.
Mifupa ni orthopedics,
 
Back
Top Bottom