Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Nasikitika kukwambia kwamba ndugu yako kwa ufaulu wake hawezi kusoma chochote kwa level ya degree.

Achilia. mbali medicine, pharmacy,nursing au education huyo hata bachelor of swimming and diving hawezi kupata.

Kwa sababu hajafikisha kigezo cha chini kabisa cha kujiunga na elimu ya juu kilichowekwa na TCU.

Kigezo lazima uwe na ufaulu wa point 4 kwa masomo mawili ambapo anatakiwa apate DD au CE.

Ndugu yako ana DE hivyo hawezi kupata.

Mwambie aende akasome diploma tu kwa kutumia cheti chake cha kidato cha nne.
Diploma hata kwa chetibcha form six anasoma mkuu
 
Ok,vp mkuu fani zp zinaweza chukuliwa amechukua HGE..alaf issue ya migration imekaa vp

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
HGE kozi zote za biashara na uchumi anasoma hata sanaa kikubwa tumia muongozo wa TCU na Chuo husika anachotaka kusoma kujua kozi anayotaka kusoma by the way mwanafunzi mwenyewe anapaswa awe na chaguo la kozi anayoitaka hasa tangu anaanza form 5 au hata kabla yaani kama mtu wa PCB anaposoma kuwa Daktari

Uhamiaji mkuu ni kozi yoyote anaenda kwa sababu ni Jeshini
 
So itakuwa diploma?vp loan ipo kwel
 
Vp pia process zp zinatumika kujiunga hiyo uhamiaji mkuu
 
Hiyo kozi ya mifupa inaitwa bsc in prothestics and orthotics ...

Nayenyewe nimeangalia wanataka Awe na C ya kemia plus D na E...

Nenda kwenye website ya kcmc utaiona...

Kusema hataki kabisa diploma inaonyesha bado hana akili... We ngoja mambo yatapomfika shingon ndio atajitambua...

Kwa sasa aombe degree na wenda round ya kwanza akakosa, akikosa aombe tena round ya pili na tatu... Na akikosa kote akasome diploma!!
Hata mm namshangaa kilaza halafu anachagua kozi
 
Nimeusoma, naona si rahisi kwa yeye kupata chuo kwa ngazi ya shahada.
labda ajaribu tuu hasa kwenye vyuo visivyo na ushindani
Chaguzi zote za vyuo lazima zihakikiwe na TCU-hivyo hapo hawezi kupita kwani hana point 4 kutoka masomo mawili. Afikirie Diploma au kurudia mtihani. Unaweza pia ukacheki Foundation ya Open University (wameruhusiwa) na ndani ya mwaka mmoja anaweza kuomba tena chuo akifaulu. Kujaribu tu ni kupoteza hela.
 
Degree unaenda ,lakini kwa program yenye ushindani kama medicine utapata shida kidogo but jaribu vyuo kama St Francis na vinginevyo utapata
Hakuna kitu kama hicho. Vyuo vyote vinakwenda kwa vigezo vya TCU.
 
degree ataenda maana point zake zinafika 4,akapige education kwa huakika wa mkopo,degree za pharmacy ,nursing, asahau wanataka kuanzia point 6
Mkuu anatakiwa point 4 kutoka kwenye masomo mawili tu. Huyo ana tatu.
 
Chaguzi zote za vyuo lazima zihakikiwe na TCU-hivyo hapo hawezi kupita kwani hana point 4 kutoka masomo mawili. Afikirie Diploma au kurudia mtihani. Unaweza pia ukacheki Foundation ya Open University (wameruhusiwa) na ndani ya mwaka mmoja anaweza kuomba tena chuo akifaulu. Kujaribu tu ni kupoteza hela.
Kvp mkuu hyo foundation ?
 
Muhimbili anaweza kwenda kuchukua BSc Nursing
Nursing anatakiwa awe na point 6 kwa masomo 3. Huyu ana 4 tu. TCU July 2018 wanasema

"Bachelor of Science in Nursing (BScN)
Three principal passes in Chemistry, Biology and either Physics or Mathematics or Nutrition with a minimum of 6 points. Whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics or Mathematics or Nutrition".
 
Kwanza awe tayari kwa lolote, kcmc wana kozi ya mifupa jina lake nimelisahau, kama ni msichana aombe walau nursing au ukunga pale muhimbili... Pia asibase sana kwenye vyuo vyenye ushindan mkubwa... Sua wana kozi za kilimo japo wengi wanazidharau...

Kama gia zote zikikataa basi angalie diploma, clinical officer au pharmacy...

Chonde chonde asije akajiloga akasoma education kisa amekosa MD...
Kwa hapo kuhusu hiyo course ya PROSTRETICS AND OTHROTICS (kama ndo hiyo unayosemea) itakuwa ngumu kupata. kwan inahitaji uwe na point 6 au uwe na G.P.A ya 3.5 na kuendlea kwa aliyemaliza diploma hapo KCMC, Au sehemu nyngine

Ajaribu kitu kingine. ila kama mnataka niwaunganishe na marafiki zangu wanaosoma hyo course. nipo tayar
 
d ni mbili,jumlisha e ni moja,sasa e anazo mbili ,ukijumlisha unapata 4
Mkuu wanachtaka point 4 kutoka masomo mawili. Ukishatimiza hilo unaweza kuomba na hapo ndio wanaposema una point 4 kutoka masomo 3 na unashindanishwa na wengine. Hiyo ya point 4 unashindanishwa na icho kigezo tu, hata ukiwa muombaji pekee unaachwa.
 
Pia huyu Bi.mdada amedhamiria kuchukua digrii suala la diploma ukimshauri ni kutwanga maji kwenye kuni.
Kama anauwezo acheck vyuo vya nje kama India/China aangalie kama vinaweza kumchukua. Awatafute Global Education Link (ukigoogle utapata mawasilianoyao). Kwa Tanzania degree haiwezekani bila kurudia mtihani F6, kupitia Diploma au Foundation Course (open).
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom