Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

hapati degree uyo msimdanganye,ili usome degree saiv lazima uwe na point 4 minimum,DD yeye hajafika ana tatu kwann mumdanganye mwenzenu wadau,hata private hawez aende diploma,izi ni qualification za tcu na sio private labda aende uganda uko,na aajiriwe uko uko
 
MEDICINE,PHARMACY,NURSING WALA BMLS AU YOYOTE YA AFYA asahau angekuwa angalau na DDE au DCF hapo sawa kikubwa akaze anapoenda diploma
 
kwanini umeanza na msichna kwani uchaguzi wa chuo unategemea? jinsia
 
Mwambie huyo ndugu yako aache ujinga ye ana matokeo ya kawaida harafu hataki kusoma diploma,tena aache kabisa ujinga kama alijua hilo angekomaa akapata sifa sitahiki degree saizi lazima angalau uwe na kuanzia DD sasa yeye ana DE hawezi chaguliwa.

Hii kitu inanikumbusha shemeji yangu mwaka juzi alivyomaliza form 4 nikamwambia omba diploma ya Clinical Medicine kwa kumlazimisha akaomba akapata ila akakataa kwenda akalazimisha kwenda kusoma advance tena CBG matokeo yametoka ana 3 ya 13 saizi anakumbuka hiyo nafas na kuniomba nimsaidie kuomba maanake kama angeenda mwakani alikuwa anamaliza

Mshauri vizuri kwa kumueleza umuhimu wa diploma ningekuwa karibu mi ningekuja kukusaidia kumuelewesha.......ila akikataa achana nae apambane baadae atakuja kuona umuhimu wake
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

E E S inakaaje
 
Habari wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza, Hivi msichana mwenye Divisheni 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB anaweza kuchaguliwa kwenda chuo kusomea degree

Ikiwa ndio, je anaweza kukubaliwa kwa kozi zipi?
Yeye anapenda kusomea kozi ya Ufamasia au Medisini.

msaada wa haraka unahitajika
Nasikitika kukwambia kwamba ndugu yako kwa ufaulu wake hawezi kusoma chochote kwa level ya degree.

Achilia. mbali medicine, pharmacy,nursing au education huyo hata bachelor of swimming and diving hawezi kupata.

Kwa sababu hajafikisha kigezo cha chini kabisa cha kujiunga na elimu ya juu kilichowekwa na TCU.

Kigezo lazima uwe na ufaulu wa point 4 kwa masomo mawili ambapo anatakiwa apate DD au CE.

Ndugu yako ana DE hivyo hawezi kupata.

Mwambie aende akasome diploma tu kwa kutumia cheti chake cha kidato cha nne.
 
Huwezi chaguliwa kujiunga na elimu ya juu.

Hujafikia kigezo cha point 4 kwa masomo mawili.

Kasome diploma ya fani uipendayo utajiendeleza mbele ya safari.
Kwa HGE ni kama fani ipi mtu anaweza somea mkuu
 
Back
Top Bottom