Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

mshauri sasa maana keshazingua hivyo
Kwanza awe tayari kwa lolote, kcmc wana kozi ya mifupa jina lake nimelisahau, kama ni msichana aombe walau nursing au ukunga pale muhimbili... Pia asibase sana kwenye vyuo vyenye ushindan mkubwa... Sua wana kozi za kilimo japo wengi wanazidharau...

Kama gia zote zikikataa basi angalie diploma, clinical officer au pharmacy...

Chonde chonde asije akajiloga akasoma education kisa amekosa MD...
 
Shukrani Mkuu.
Hapa cha kumshauri atafute kozi zisizofahamika na zenye soko kama hiyo ya mifupa. Nusing na Ukunga nadhani itakuwa na ushindani.

Pia huyu Bi.mdada amedhamiria kuchukua digrii suala la diploma ukimshauri ni kutwanga maji kwenye kuni.

Education nimemuambia asithubutu hata kuiwaza
 
Kwanza awe tayari kwa lolote, kcmc wana kozi ya mifupa jina lake nimelisahau, kama ni msichana aombe walau nursing au ukunga pale muhimbili... Pia asibase sana kwenye vyuo vyenye ushindan mkubwa... Sua wana kozi za kilimo japo wengi wanazidharau...

Kama gia zote zikikataa basi angalie diploma, clinical officer au pharmacy...

Chonde chonde asije akajiloga akasoma education kisa amekosa MD...
muhimbili hapati asijisumbue wanataka point kuanzia 5 na sita kupanda juu
 
Back
Top Bottom