Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,225
- 1,830
Hio ni Bachelaor of education hapo Nairobi University unaposema. Niambie Tanzania ni chuo kipi wanafundisha Education kwa miaka minne?Jibu swali maana unaongea uongo.. hata vyuo vya kenya zipo degree kibao za miaka mitatu kama udsm na wakenya wanazisoma hizo za 3 yrs.
Unajua university of nairobi na university of dar es salaam zilikuwa colleges za university moja kubwa inaitwa university of east africa? Chini ya management moja
Kozi nyingi ambazo udsm ni 3 yrs na nairobi ni 3 yrs hivyo hivyo