DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

Jibu swali maana unaongea uongo.. hata vyuo vya kenya zipo degree kibao za miaka mitatu kama udsm na wakenya wanazisoma hizo za 3 yrs.


Unajua university of nairobi na university of dar es salaam zilikuwa colleges za university moja kubwa inaitwa university of east africa? Chini ya management moja

Kozi nyingi ambazo udsm ni 3 yrs na nairobi ni 3 yrs hivyo hivyo
Hio ni Bachelaor of education hapo Nairobi University unaposema. Niambie Tanzania ni chuo kipi wanafundisha Education kwa miaka minne?

Screenshot_20210620-230955.png
 
Ni utaratibu kwa wewe maskini usiye na Pesa

Ukiwa na pesa kuna shule kibao Tanzania zinatumia mifumo ya cambridge

Maskini ndio hao wanasoma udsm, Dodoma university

Ukiwa na pesa au dollar huwezi somesha mtoto Tanzania, Ni Umaskini wa watanzania

Mkuu watu wanaokuzunguka wana pesa za kutosha, Angalia aina za marafiki zako

Uelewa wako wa elimu unaishia TCU

Huo mfumo upo kwa ajili ya watoto wa maskini

Mtoto wako kusoma udsm au Udom sio sifa, Wazee wetu walisoma hapo hawakuwa na pesa

Leo hii watu wana pesa, Ukiwa na pesa huwezi mkaririsha mtoto mambo
Acha uongo vyuo vya maana haya nyie wenye pesa hamuendi. Eti Bangarole ndio chuo gani huko vichochoroni?

Udsm hawaendi vilaza. Vilaza vinakimbilia India na China.
 
Ukiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.

Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
Not true my friend. Hizo nchi kuna entry requirements huendi hivi hivi. India ambapo ndugu zetu wengi wakiugua wanaenda kutibiwa

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo vyuo vya maana haya nyie wenye pesa hamuendi. Eti Bangarole ndio chuo gani huko vichochoroni?

Udsm hawaendi vilaza. Vilaza vinakimbilia India na China.
Mkuu kama umefika udsm utacheka sana sana

Kuna college of engineering and technology au Coet, Huko hakuna vifaa vyovyote ni upuuzi, Halafu kozi miaka 4

Kuna shule ya biashara inaitwa UDBS zamani FCM kama faculty of commerce huko ndio kwenye vituko kwenyewe, Wanafunzi wanasoma mambo ya computer ya mwaka 1970 the huko, Wanafundishwa what is Hardware and Software, Chuo kikuu kweli

Ukiwa na pesa huwezi peleka mtoto shule ya kata au ya serikali

Kuna shule zenye unafuu sio hizo za akina professor hata kuongea hawawezi


Vijana wanamaliza chuo kikuu hawajui kitu cha kuwasaidia maisha
 
Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka.

Kwa mujibu wa gazeti hilo ni kuwa Mchopanga huyo alipata udhamini na moja kwa moja kwenda kwenye masomo hayo kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2009 ambapo aliondoka nchini na kudahiliwa chuoni hapo bila ya kuwa na matokeo hayo.

Upo uwezekano kuwa kwenye elimu ya huyu DC mteule kuna utata na usanii na hata shahada yake ni ya mambo ya usanii.

Anajisemea kuwa anatarajia kwenda chuo kikuu cha Dar es Salaam kusomea shahada ya pili kwenye mahusiano ya umma.

NB: Wapo marafiki zangu kibao waliotokea hapo Bangalore na kujitapa kuwa wana shahada ila walipoambiwa kuleta vyeti wengi wao ni ukweli walitunukiwa shahada zao za kwanza kwa kutumia matokeo ya vyeti vya kidato cha nne kama "Direct entry qualifications" na huenda Mchopanga ni mmoja wao. Je NACTE wameanza lini kuthibitisha kuwa shahada za aina hii ni credible kwa nchi yetu?
Huenda mchopanga ni mmoja wao??????
Huenda???
You are not sure
Acha uchawi uende mbinguni mkuu


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mnashangaa kitu gani?

Kwani kusoma chuo kikuu mpaka usome Form Six?

Prof Mwandosya Mark J, hakusoma Form Six, Bali alisoma DIT Halafu akaenda udsm baadae Aston university

Wahindi kule Posta watoto wao wanasoma ulaya vyuo vikuu vya dollar 50,000 kwa mwaka walisoma form Six?

Wahindi wangapi wanafanya kazi Agha khan na Muhimbili tena mabingwa lakini mbona hawakusoma Form Six

Kenya wanaishia Form Four na kwenda chuo kikuu

Mimi niliwahi fanya kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu na Nilimpata ajira rasmi bila hata matokeo ya mwaka wa pili,

Watu wanaangalia uwezo wa Mtu sio cheti

Kuna vyuo unafanyishwa mitihani kabla ya kuingia ukiweza hata ukiwa darasa la saba Unaanza masomo

Elimu hii ya Form Six ni kuwapotezea watoto muda na maisha ya kutafuta Pesa tu

Miaka miwili Form Five na Six, Mtoto anaweza kujifunza utaalamu wa programming na akawa nguli

Miaka miwili inatosha mtoto kusoma Software mbalimbali na kuwa nguli

Form six ni mfumo wa Uganda na Tanzania wa kishamba sana

Ukiwa na pesa na upo vizuri mtoto unamsomesha kuanzia chekechea ulaya unalipa dollar 60,000 kama Milioni 120 Kwa mwaka

Ukiwa na pesa huna haja ya kusoma elimu yetu hii ya kitanzania ya kupotezeana muda,

Mtoto akimaliza Form Four unamtafutia College Marekani au Uingereza anajifunza mambo ya maana hata mwaka baadae unamlipia chuo kikuu huko huko

Angalia wahindi kule Posta na ni matajiri jinsi watoto wao wanavyokuwa smart kichwani baada ya Form Four, Mtoto anapelekwa college ulaya bei dollar za kutosha


Wabongo tatizo pesa, Watanzania wachache wana uwezo wa kumlipia mtoto ada Milioni 200 kwa mwaka au Milioni 100 kwa mwaka

Watanzania Tuendelee na Bodi yetu ya mikopo huku tukilia lia Retention fee

Ahaaaa
Isome tena mada mkuu,
 
Je NACTE wameanza lini kuthibitisha kuwa shahada za aina hii ni credible kwa nchi yetu?
NACTE hawatathubutu kufanya vinginevyo kwani itakuwa sawa na kukata matawi waliyokalia. Mimi nina wasi wasi hata huko NCTE shahada zilizopatikana kwa njia hizo zimetamalaki. Niliwahi kufanya utafiti wangu usio rasmi na matokeo yanasikitisha. Wapo wengi humu Tanzania ambao shahada zao ni magumashi.
 
Back
Top Bottom