Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 543
- 895
Kukubali kushindwa aiwezekaniTraveler ana kiburi kama tunavyo mjua hataki kuonekana kashindwa ingali ni Abnormal
going against the wind, tornadoThe compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
Hataki mazungumzo/mawazo yenye kuleta tumaini la maelewano kati ya raia na sirikali. Amekomaa na style yake ya ukitoa pua usialalamikeI've spent mpre than three minutes.... Sjapata concept of what it means
The compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
Thread 'Ufunuo Kwa Jamii' Ufunuo Kwa JamiiKatika kutafakali huu ufunuo nimewaza kua,
Hivi kambi ambayo inataka maslahi mapana kwa mustakabali wa taifa na walio wengi,Baada ya kusoma kwa utulivu post ya Yoga, reply anazotoa kwa baadhi ya maswali nakuunganisha dots na zile post za Brittanica, hii ndio conclusion yangu;
1. Kama maandamano yataendelea na wao wataendelea kuwaua bila kujali nani anakufa
2. Wahuni aliowasema Polepole wako serious na mpango wao kuliko watu wanavyodhani
3. Kosa limekwishafanyika na waliofanya kosa ni watu wa CCM na serikalini kwa kuwaacha hawa wahuni wajijenge kwenye kila idara nyeti na sasa walioko kule wote ni watu wao
4. Ili Taifa kutoka mikononi mwao labda wavurugane wao kwa wao au wafe wote (kitu ambacho ni kigumu kutokea)
5. Kinachoweza kufanyika ili tuishi kama zamani kwa amani na utulivi feki ni kile wamarekani wanasema "shut up and drive"! Nothing more
Lugha yako ya kificho nashindwa kuilewa, ila nilisoma commet Sehemu sikumbuki wapi kuwa huko Kaskazini sijui Manyara kutwa nzima helicopter ilikuwa inazunguka tena chini chini,The compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
Najaribu kufungua code.......The compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
Make it briefly, life is full of surpriseTrust me you don't need to know my friend
Mipango yetu sio ya MunguFor those who did not understand............ I meant to say,
Its officially that The company is a locked house with keys held by a few, To mean that,...... all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate. The kingdom serves its keepers, and questions are treated as crimes from now on wards
To be safe stay silent!! Otherwise it's the end!!! No hope no lights, only nature to decide
Aisee kweli we are cooked. Km ikitokea hivyo.. PM😪😪😪The compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
Mkuu hum ndani tunatumia codes tu na kama hujui maana ya Babu una google then unakuja kwenye kampun unafanya ulinganifuBabu ni Babu
Nature has never been wrong, it always restores balance, even when silence reigns.For those who did not understand............ I meant to say,
Its officially that The company is a locked house with keys held by a few, To mean that,...... all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate. The kingdom serves its keepers, and questions are treated as crimes from now on wards
To be safe stay silent!! Otherwise it's the end!!! No hope no lights, only nature to decide
Make it simpleThe compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
Ni kwa muda mfupi tu coz ni binadamu ambao wamejaa madhaifu kibao, wataachia tu.Its officially that The company is a locked house with keys held by a few
Power itarudi kwa umma coz hakuna aliyeweza kushindana na umma akashinda.all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate
Hapa naona kama unataka kutuonyesha kuwa jamaa hatuwawezi, hawa ni binadamu kama sisi, tusiwape nguvu isiyokuwa yao!To be safe stay silent
Nature Never Hurries, Yet Everything Is Accomplished... - Lao TzuFor those who did not understand............ I meant to say,
Its officially that The company is a locked house with keys held by a few, To mean that,...... all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate. The kingdom serves its keepers, and questions are treated as crimes from now on wards
To be safe stay silent!! Otherwise it's the end!!! No hope no lights, only nature to decide
Nimetoka kusoma post ya Mwanakijiji, ameeleza mengi kwa hisia lakini amejaribu kukumbusha historia ya mauaji yaliyofanywa na Mjerumani dhidi ya Babu zetu walipojaribu kupinga utawala wao kwa miaka mingiFor those who did not understand............ I meant to say,