soskeneth
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 583
- 235
Ukidownload,then install halafu kun Sehem ya kusett ili izuie matangazoIkoje hiyo na inatumikaje
Ukidownload,then install halafu kun Sehem ya kusett ili izuie matangazoIkoje hiyo na inatumikaje
Loh! Kumbe maana huwa naambiwa storage almost full ila sikuwah kuwaza inaweza kuwa chanzo cha tatizo, halafu haina memory card, vp nikiweka itapunguza hili tatizo?Tatizo sio chaji, tatizo ni storage, na RAM kwa hyo kwanza angalia storage(memory ama internal) uhakikishe in a nafasi ya kutosha, pili kma haina pungza apps usizo na kaz nazo, hpo simu itakuwa clear
Mkuu habari yako.ungefanya jambo la busara km ungeeleza ni aina gani ya cmu maana hakuna universal rooting method... kama hizi chinese phones with mediatek chip itakulazimu kwanza kufanya bootloader unlock, then flash twrp kwa model husika then copy supersu to ur phone memory, boot cmu to twrp recovery then click instal na utascroll storage location ulikoweka supersu na utachagua then utainstal na baada ya hapo utareboot cmu yako... kam ni samsung just download cf autoroot kwa hyo model yako then flash via odin, htc itakulazimu ufanye bootloader unlock from here htcdev.com then flash twrp na tumia twrp kuinstal supersu..... hope umepata basic knowledge
Ukikwama uliza
uwe na cmu yako onhand, install teamviewer kwenye pc yako ambayo itaniwezesha mimi kuaccess ur pc, instal flexihub then nicheki 0717458447 then nafanya direct unlock bila kujali ulipo... ni paid service cyo free... Miracle cjawahi kuikubali hata cku1 maana ni ujinga tu hakuna box kwakweliMkuu habari yako.
Nina tecno R6 nahitaji kuifanyia network unlocking, Sasa nimekwama.. Nimejaribu kutumia Miracle box inagoma, inataka simu iwe rooted.
Nimejaribu kuroot kwa njia kadhaa ikagoma, nikajaribu kwa njia ya ku flash twrp lakini nimeshindwa kupata ambayo inaendana na model ya Simu.
1. Nisaidie namna ambayo naweza ku unlock network.
2. Nisaidie namna ya kuroot au kupata compatible twrp.
Shukrani Sana...
ukisema tu htc haitoshi, taja exactly modelnataka ni root HTC yangu mkuu, msaada tafadhali
ukisema tu htc haitoshi, taja exactly model
kwanza yakupasa ku unlock bootloaderni HTC DESIRE 820S DUAL SIM Mkuu
kwanza yakupasa ku unlock bootloader
kam ina android version below 5 bac tumia kingorootItapendeza zaidi ukanipa na procedures zake mkuu
Wengine mnakuwa na maswali ya kisSimu yangu nikichomeka kwenye chaji inaniandikiaa charger connected. Ina tatizo gan mkuu?
kam ina android version below 5 bac tumia kingoroot
Simu yangu nikichomeka kwenye chaji inaniandikiaa charger connected. Ina tatizo gan mkuu?
Unaweza kubadili os ya simu ni simple sana mkuu ila kwa kuwa haihusiki ndani ya mada baas endelea kuwajuza watu .big upInaweza kubadilika kwa themes, keyboard, wallpaper, gallery lakin sio Ram, internal,
Kama uzi huu ni wa kisaidiana kwa nn usiweke hapa hapa watu wajue tu ?? Afu kuna njia rahisi tu ya kitoa ads kwa simu na app bila ku bridge na apps nyengineHayo yanazuiliw yaani adsblock kwa kulipia app hyo
Ukihitaji msaada zaid wasiliana nami 0753093869
Hiyo ni COINAGE na COINAGE huwa hazinaga maana halisi mkuu .maana ya neno android
kama unataka kuroot ili ufix hayo matatizo achana nayo maana haitofix.. cmu ukishafanya bootloader unlock na ukaroot tayari ushapoteza warrant na hutoweza pokea official update kwa maana system tayar itakuwa modifiedAfu kitu kingine nachokiona kwenye HTC DESIRE 820S kwenye upande wa camera inakula chaji kuliko Data, nini tatizo wakuu? je niki root tatizo linaweza kuisha? problem nyingine ni kuwa haitaki kuingiza system updates.