Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

hujauliza anaconect cmu yenye chip gani mzee, hizo mt65xx ni drivers kwa ajili ya cmu zenye chip ya mediatek pekee so what if anaconect cmu yenye spreadtrum cpu?..
Wengi wanatumia simu zenye chip ya mediatek. Hiyo chip nyingine ni wachache sana wanatumia km itel na baadhi ya simu za samsung za button. Km ingekataa angeleta mrejesho lkn mpaka sasa ni kimya. Km huyo unamsadiaje?
 
Sumsung galaxy grand prime plus internal gb 8 sd gb nane. Kila siku inajaa internal memory nawezaje kutumia sd card ili isisumbue?
Nunua sd card org, pia namna ya kutambua sd card org nend Google pakua sd card checker
 
Simu yangu aina ya infinix hot 4. Imeacha kabisa kudownload app yoyote. Inaandika download pending. Sijui shida mini? Tena ina sema some system functions my not work. Nikiangalia inaonyesha imejaa kwenye internal memory. Lakini ndani ina memory card GB 15 iko empty kabisa, nikitaka kuamisha app nashindwa nifanyaje?
Hili tatizo dogo, ni kwamba play store haiwez pakua app 2 kwa wakati mmoja, sasa kma inaandika download pending maanake kutakuwa kuna apps zina jiupdate kwahyo click update ukiwa play store then click stop
 
Techno W3 Light nikiwasha data apps kama WhatsApp, Facebook, Jf, nk hazifunction wakati browsers zinafanya, ila nikitumia wireless zote zinafanya.
Nime cheki APN kila kitu kipo sawa, sijaweka data limit ila tatizo lipo palepale
Hili tatizo linatokana na mambo kadhaa
Ram
Internal storage
Version
Tazama vitu vyoote hivyo kuwe na nafasi ya kutosha kma hamna punguza apps zisizo za muhimu, kisha futa app hizo pakua upya tena
 
Natumia Nokia W5 inatumia line mbili Ila line ya tigo kila nikipiga inagoma ila SMS na internet natumia Kama kawaida.... Tatizo ni settings au tigo ndio wanazingua
 
Mkuu mi natumia itel ila shida nikiweka kifurushi cha internet kinaisha haraka sana, mb 500 kwa Siku..na hapo nakua nimetumia WhatsApp nakuingia jf au Google.. Tatizo ni nini?
 
Mkuu mi natumia itel ila shida nikiweka kifurushi cha internet kinaisha haraka sana, mb 500 kwa Siku..na hapo nakua nimetumia WhatsApp nakuingia jf au Google.. Tatizo ni nini?
Matumiz yako ndiyo kuisha kwake,
500mb kwa kuperuz siku 1 unamaliza na mb zinabaki.
 
Simu yangu mtu akipiga haionyeshi jina mpaka baadae sana, ni kwanini?
Pia nawezaje rudisha picha zilizokua kwenye applock nilizosave kwenye simu ya zamani iliyoharibika, ili nizione kwenye hii mpya nayotumia?
 
natumia simu.sio mtu anaenda nunua chipset za MTK .SPD.RTK RDA.alafu usipate matatizo na simu
Wewe unatumia sim yenye chipset ya aina gani tuanze hapo kwanza ili tujue ni sfa za kijinga au kutokujua. Maana hakuna chipset isiyi na changamoto na wakati mwingine kuna matatizo ambayo sio ya chip set maana simu performance ya simu sio chipset pekee kuna visaidiz ving ambavyo vinaweza kufail na chipset ikawa iko salama
 
Simu yangu mtu akipiga haionyeshi jina mpaka baadae sana, ni kwanini?
Pia nawezaje rudisha picha zilizokua kwenye applock nilizosave kwenye simu ya zamani iliyoharibika, ili nizione kwenye hii mpya nayotumia?
Haaa sasa picha uli save kwenye simu ya zaman zitapatikanaje kenye mpya?? Kupatikana kwake ni pale tu utakapo kuwa ulizi save kweny memory card ambayo ni removable kama ulisave kwa system starage hiyo ni shida
 
Nilidhan applock inasave juu kwaju kama google.
 
Wewe unatumia sim yenye chipset ya aina gani tuanze hapo kwanza ili tujue ni sfa za kijinga au kutokujua. Maana hakuna chipset isiyi na changamoto na wakati mwingine kuna matatizo ambayo sio ya chip set maana simu performance ya simu sio chipset pekee kuna visaidiz ving ambavyo vinaweza kufail na chipset ikawa iko salama
Uko sawa 100%
 
Back
Top Bottom