Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Password za kurestore ama parten??
Kma ni za kama parten basi click power +volume down+home kwa sekunde kma 3 kisha achilia ikiwaka click restore
thats download mode brother na cyo recovery... kumbuka pia j2 ina frp
 
kulikua na haja ya kupita huko kote wakat kunamjadala wa wazi unaendelea hapa? afu mkuu lugha imenipiga chini mnoo sidhan kama nitaelewa hebu nisaidie basi hayo majibu
Android
Program tumishi inayotengenezwa na kampuni ya Google kwa ajili ya simu.
Hii ni programu ama mfumo wa wazi unaotumika kuisaidia simu kiutendaji.
Inatumika Kwa simu na tabiti pia.
Je bado hujaelewa!?



an open-source operating system used for smartphones and tablet computers
 
Natumia Tecno boom J-8, Nikipiga picha then nikaenda kwenye galarey simu inashindwa kuload image. Tatizo ni nini?
 
Simu yangu aina ya infinix hot 4. Imeacha kabisa kudownload app yoyote. Inaandika download pending. Sijui shida mini? Tena ina sema some system functions my not work. Nikiangalia inaonyesha imejaa kwenye internal memory. Lakini ndani ina memory card GB 15 iko empty kabisa, nikitaka kuamisha app nashindwa nifanyaje?


!
!
Download app inaitwa [HASHTAG]#moborobo[/HASHTAG] kwenye pc yako. Kisha connect pc na simu. Tumia hiyo app kuhamisha baadhi ya program kutoka kwenye internal memory kwenda kwenye SD Card easy
 
Simu ya samsung j5, charge ikipungua tu unaona mafail hayatulii kama yanajitouch unaweza kuwa whsp ukashangaa imeenda IG nk, ukigusa hairespond, mwisho inajizima tatizo ni nn hapa
 
Simu ya samsung j5, charge ikipungua tu unaona mafail hayatulii kama yanajitouch unaweza kuwa whsp ukashangaa imeenda IG nk, ukigusa hairespond, mwisho inajizima tatizo ni nn hapa
Tatizo sio chaji, tatizo ni storage, na RAM kwa hyo kwanza angalia storage(memory ama internal) uhakikishe in a nafasi ya kutosha, pili kma haina pungza apps usizo na kaz nazo, hpo simu itakuwa clear
 
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Mifano mingine ni KuRoot simu za version 6.0,7.0 nk. Kuzuia matangazo (ads), Udukuzi (hacking), Kupata sms za mpenz (spy).

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
nna s6 nataka kuapdate iende kwenye 8.0 nifanyaje saizi ipo kwenye 5.1.1 tu
 
Ni mjanja kwa kiasi kwenye android. Lakini hii imenishinda. Samsung j3 ukipigiwa simu flash ya kamera inawaka. Nimejaribu kuioff nimeshindwa. Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom