GIBRALY
Member
- Mar 14, 2017
- 31
- 35
Ina miez 10Simu ina mda gani imeibiwa maana inaeza kuwa imesha Flashiwa ikapoteza data
Ina miez 10Simu ina mda gani imeibiwa maana inaeza kuwa imesha Flashiwa ikapoteza data
Tuko pamojaTuanze na mahitaji.
1 computer.
2 usb cable genuine.
3 Odin.
4 Samsung drivers .
5 Firmware ya simu husika.
Mpaka hapo tuko pamoja au nimekuacha?
Una uhakika huna swali hapo.!?Tuko pamoja
3. Odin? Sijaelewa ni nn?Una uhakika huna swali hapo.!?
Sitapenda kurudia nyuma
Hio ni software official kabisa itakayokuwezesha kusoma simu kwenye pc na kuileta software (kuingiza) ndani ya simu.3. Odin? Sijaelewa ni nn?
Samsung drivers?Hio ni software official kabisa itakayokuwezesha kusoma simu kwenye pc na kuileta software (kuingiza) ndani ya simu.
Bila hii hamna liwalo.
Swali lingine tafadhari!?
Software kiunganishi baina ya pc na simu.Samsung drivers?
dah hatuwezi fanikisha potezea tu [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ina miez 10
Hahaha! Nope sir, i got you. Sound driver, Bluetooth driver, Wi-Fi driver... Tuendelee kwenye mchakatoSoftware kiunganishi baina ya pc na simu.
(Elewa hivyo Kwa sasa )
Mkuu umesoma masuala ya computer au software kidogo...japo kidogo?
(Looks like am in trouble)[emoji20][emoji20][emoji20]
Let's say umeelewa vzr huko mwanzo..Hahaha! Nope sir, i got you. Sound driver, Bluetooth driver, Wi-Fi driver... Tuendelee kwenye mchakato
Hii naweza mkuu, labda utanitumia link ya website ambapo naweza pata firmware ya hii simu kwa urahisi...Let's say umeelewa vzr huko mwanzo..
Hatua ifuatayo ni kudownload firmware ya simu yako ambayo Kwa maximum itakua km 1.7gb (make it 2gb)..
Je unaweza kutekeleza hili..!?
Sawa.Hii naweza mkuu, labda utanitumia link ya website ambapo naweza pata firmware ya hii simu kwa urahisi...
Aisee! [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu mm natumia sim ya Tecno y3 nawezaje kuibadili kua Samsung j5??
Nimekupata vizuri mkuuSawa.
Ningekutumia lkn haitafanya kazi maana lzm ujiandikishe ndipo unakua na uwezo wa kudownload chochote.
Software zote utazipata Kwa kuingia www sammobile.com..
The rest utamaliza mwenyewe huko Kwa maana kuunda account,kusearch firmware ya sumu yako (SM-G935F)utarekebisha hapo km nimekosea.
Kisha ukiipata sasa tutakutana hatua ya mwisho ya kui upgrade simu tukitumia Odin baada ya kuinstall drive..
Upo na Mimi bado!?
Download kisha nimtafute au nikupe namba zangu kabisa!?Nimekupata vizuri mkuu
Sawa mkuu ni-pm namba zakoDownload kisha nimtafute au nikupe namba zangu kabisa!?
Done.Sawa mkuu ni-pm namba zako