MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,754
- 6,666
kama unataka kuroot ili ufix hayo matatizo achana nayo maana haitofix.. cmu ukishafanya bootloader unlock na ukaroot tayari ushapoteza warrant na hutoweza pokea official update kwa maana system tayar itakuwa modified
nimekusoma mkuu, sasa hili la kukataa kuingiza system update tatizo ni nini? inadownload system updates fresh ila inapo-restart ili ziingie inasogea kidogo tu na inakwama na inafail hapo hapo. sioni utamu wa hii simu man