kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,827
natumia simu.sio mtu anaenda nunua chipset za MTK .SPD.RTK RDA.alafu usipate matatizo na simuWewe unatumia nn
natumia simu.sio mtu anaenda nunua chipset za MTK .SPD.RTK RDA.alafu usipate matatizo na simuWewe unatumia nn
Sawsawa nipo hpa nitakupa darasa kwa video na picha kirahisi niinboxAisee simu yangu kila nkiconnect kwa PC inaonesha alama nyekundu pale kwa discs, sasa hata nkifuta vitu haipungui, inaonesha OMB of 4GB, nliformat simu, ikakaa siku 3 imeanza tena, kwahio siez eka chochote kwenye simu toka kwa PC
Nahitaj normal update, nielekeze nifanye nnleta pesa nikufanyie
Hakuna simu isiyo na matatzo duniani kotenatumia simu.sio mtu anaenda nunua chipset za MTK .SPD.RTK RDA.alafu usipate matatizo na simu
maana ya neno androidNdio ndio, ni mfumo wa uendeshaji ujulikanao kma OS (Operating System)
Acha kumkufuru mungu Kua na simu ya hela nyingi haimaanishi kua umeyapatia maisha so kua makininimefuatilia humu kwa makini nimegundua watu wengi wanatumia makopo ya simu.
tafuta wireless kutoka ktk chombo kingine connect na simu yako nenda seting about kwa juu utaona neno update click.ila lazima uwe na bandle la kutoshaNahitaj normal update, nielekeze nifanye nn
ila hizo chipset ni za bei poa ndio maana magonjwa yake yana fananaHakuna simu isiyo na matatzo duniani kote
Nipigie au sms 0753093869Napatikana WhatsApp 0652881000
RestoreSimu ya Tecno c5 inajioperate yenyewe. Mfano ukionda pattern, uenyewe inaanza ku call au kufunhua apps ambazo hata sijazikomand. Pia mda mwingime inakuwa ngum kupiga. Itabaki inasema call exceeded. Call doesn't sent
maamuzi magumu kama yako ya kununua mtk kila baada ya miezi 8 unanua simu.nunua kitu ukae nacho ata miaka 3.usawa unakabaAcha kumkufuru mungu Kua na simu ya hela nyingi haimaanishi kua umeyapatia maisha so kua makini
Saaaanamaamuzi magumu kama yako ya kununua mtk kila baada ya miezi 8 unanua simu.nunua kitu ukae nacho ata miaka 3.usawa unakaba
Kabla sijaconnect hilo neno "update" halipo, maana nikiangalia hapa sahivi sioni?tafuta wireless kutoka ktk chombo kingine connect na simu yako nenda seting about kwa juu utaona neno update click.ila lazima uwe na bandle la kutosha
Nashindwa ku restoreRestore
Nenda kwa main post chukua number ya whataspp nicheck nikusaidie au hi 0621072026Nashindwa ku restore
wipe ikikataa download file i flash full.au tafuta fundi alie karibu yako.0754604567Simu ya Tecno c5 inajioperate yenyewe. Mfano ukionda pattern, uenyewe inaanza ku call au kufunhua apps ambazo hata sijazikomand. Pia mda mwingime inakuwa ngum kupiga. Itabaki inasema call exceeded. Call doesn't sent
litakosaje mkuu.check hii pictureKabla sijaconnect hilo neno "update" halipo, maana nikiangalia hapa sahivi sioni?
Hili nalo ni tatizo!?Kuna tofauti gani kati ya feature phone,java phone,symbion, Windows phone na hii Android??