Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

P

Psiteshio72

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
579
Points
500
P

Psiteshio72

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
579 500
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu kma spy, hack nkbali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Pia tembelea Forum mpya hapa ya tuzungumze yenye uhuru na upana zaidi
www.tuzungumze.com
 
Erick Kalemela

Erick Kalemela

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
685
Points
1,000
Erick Kalemela

Erick Kalemela

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
685 1,000
Mkuu simu yangu inasumbua nikitaka kupakia picha inaniandikia kama ifuatavyo "Allow Gallery to Access Photos,Media and file on your Denice,Halafu kwa chini kuna maneno Deny_Allow"Msaada wako plz,ni Tecno W2
 
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
14,765
Points
2,000
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
14,765 2,000
umejiunga jumatatu unakuja kudanganya watu na kiblog chako uchwara!!!
dogo kuwa makini humu unaweza kupakatwa na tunaweza kukiangusha hicho kiblog chako muda wowote endelea kubwabwaja tu.View attachment 647636
Msamehe Tuuu Ndio Vijana Wetu Wa Siku Iz Hawa
 
Erick Kalemela

Erick Kalemela

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
685
Points
1,000
Erick Kalemela

Erick Kalemela

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
685 1,000
Unaclick tu hapo kwenye Allow umemamiliza
Nimeclick Allow imeandika kama ifuatavyo "Screen Overlay detected
To change this Permission setting,you first have to turn of then screen overlay from Setting<Apps
Open Settings,bado msaada wako nimhimu
 

Forum statistics

Threads 1,326,596
Members 509,543
Posts 32,227,636
Top