Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
- Thread starter
- #461
Update hahitaji memoryhii galaxy s6 haina sehemu ya kuweka memory cad unawekaje sasa
Update hahitaji memoryhii galaxy s6 haina sehemu ya kuweka memory cad unawekaje sasa
AiseeeKama unsearch uc browers inazuia matangazo yenyew but ili uondokan na hii kero tafuta app playstore called adblocker
Setting ya niniSiyo kirahisrahs kama unavyosema allow ,ukibonyeza allow inabd uende kweny setting
NdioLoh! Kumbe maana huwa naambiwa storage almost full ila sikuwah kuwaza inaweza kuwa chanzo cha tatizo, halafu haina memory card, vp nikiweka itapunguza hili tatizo?
Njoo ofisini kwangu hpa dar es salaam, kariakoo Agreynataka ni root HTC yangu mkuu, msaada tafadhali
Ilikuwa inaniambia call ended... Ila nimekuja kugundua 4g ndio tatizoInaandikaje wakati unapiga?
nashangaa watu walikua wanajibu tofautiMkuu ulikua sahihi sana mana hata mie nilikua najaribu kutafuta jibu la swali lako lkn sasa nimefika page ya 22 bado sijaona jibu.......
Neno Android lenyewe lina maana gani?
And+gate+roid
Sijaelewa kabisaaaaa
coinage ya maneno gani?Hiyo ni COINAGE na COINAGE huwa hazinaga maana halisi mkuu .
Mh! Ndo umejibu hapa? [emoji15]Ndio ndio, ni mfumo wa uendeshaji ujulikanao kma OS (Operating System)
condition yake mkuu, mint, excellent, good or ......Samsung galaxy alpha ipo 200000
Ipo poa tu mzeecondition yake mkuu, mint, excellent, good or ......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] weka vocha iyo ndo dawaMkuu simu yangu inatatizo ya kukosa bando mara kwa mara nifanyeje????
kama una pc unaweza ukancheki then nkakufanyia baaada tu yakupata access to ur pc thru teamviewer
Njoo ofisini kwangu hpa dar es salaam, kariakoo Agrey
unataka kufanya update?Mkuu kama ikikupendeza fanya mchakato maana nimeona chenga chenga kwenye ile HTC sijaweza kitu na nimeogopa kuua simu maana nilihisi nitakosea step. ninayo teamviewer
unataka kufanya update?
Unatumia HiOs android 6.0?nina tatizo simu yangu Tecno N8 muda mwingine haipokei msg japokua kwa aliye nitumia inamletea delivery report.. na nikwabaadhi ya msg sio zote na kumbuka kua haijafikia limitation yake ya kupokea msg