Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Aisee simu yangu kila nkiconnect kwa PC inaonesha alama nyekundu pale kwa discs, sasa hata nkifuta vitu haipungui, inaonesha OMB of 4GB, nliformat simu, ikakaa siku 3 imeanza tena, kwahio siez eka chochote kwenye simu toka kwa PC
Uwezo wa pc yenyewe na uwezo wa cmu zinawiana???? Kama uwezo wa cmu ni mkubwa zaid ya pc yenyewe huwez fanya any thing mkuuu
 
Simu ya Tecno c5 inajioperate yenyewe. Mfano ukionda pattern, uenyewe inaanza ku call au kufunhua apps ambazo hata sijazikomand. Pia mda mwingime inakuwa ngum kupiga. Itabaki inasema call exceeded. Call doesn't sent
Badir software mkuuu haina namna nyingne. Nenda tecno, wako nhc house postal kama uko dsm
 
Ingia google andika neno android majibu yapo tena mengi tuu
kulikua na haja ya kupita huko kote wakat kunamjadala wa wazi unaendelea hapa? afu mkuu lugha imenipiga chini mnoo sidhan kama nitaelewa hebu nisaidie basi hayo majibu
 
Na sim hct1 m8 bado ipo version ya 5.1 android kila nikijaribu ku update , inaji update ila bado inakuwa ni 5.1 ile ile. Nifanyaje niweze ku upgrade kwenda 6 au 7?
 
Ntawezaje kurudisha picha zangu nikizoweka kwenye app ya appslock ? Maana kila niki download app na nikiweka email yangu picha hazionekani
 
Nina tatizo

Niliweka picha kwenye App ya appslock lakini nilipo badili sim na nilipo kuja kuidownload kwenye sim mpya na kuingiza email na kuifungua iyo App picha sizioni
 
Na jinsi gani naweza ku root Android Phone version 6 maana program zote kama Kingo root nk imeshindikana
ungefanya jambo la busara km ungeeleza ni aina gani ya cmu maana hakuna universal rooting method... kama hizi chinese phones with mediatek chip itakulazimu kwanza kufanya bootloader unlock, then flash twrp kwa model husika then copy supersu to ur phone memory, boot cmu to twrp recovery then click instal na utascroll storage location ulikoweka supersu na utachagua then utainstal na baada ya hapo utareboot cmu yako... kam ni samsung just download cf autoroot kwa hyo model yako then flash via odin, htc itakulazimu ufanye bootloader unlock from here htcdev.com then flash twrp na tumia twrp kuinstal supersu..... hope umepata basic knowledge
 
Na sim hct1 m8 bado ipo version ya 5.1 android kila nikijaribu ku update , inaji update ila bado inakuwa ni 5.1 ile ile. Nifanyaje niweze ku upgrade kwenda 6 au 7?
ukiona hvyo bac hyo cmu hapo ndo uwezo wake ulipoishia kwenye android 5 kwa oficcial method.. unaweza update to android 6 or7 by custom rom... unlock bootloader, kama utaweza kufanya s-off itakuwa much better though not much neccessary, flash twrp, tumia twrp kuinstL supersu, download custom rom ya version unayoitaka ie 6 or 7, weka kwenye phone storage au memorycard, boot phone to recovery, fany advanced wipe yaani data, cache, system then go back to home then click instal and scroll had ulipoweka custom rom then instal it.. most custom roms huwa hazina google apps so baada ya cmu kuwaka utagundua hakuna app yoyote related to google like play store, play music nk hvyo itakulazimu kudownload tena GAPPS package kulingana na hyo custom rom yako may be lineage or resurector remix nk then utainstal hyo GAPPS kama ulivyoinstal hyo custom rom then reboot system and enjoy
 
ungefanya jambo la busara km ungeeleza ni aina gani ya cmu maana hakuna universal rooting method... kama hizi chinese phones with mediatek chip itakulazimu kwanza kufanya bootloader unlock, then flash twrp kwa model husika then copy supersu to ur phone memory, boot cmu to twrp recovery then click instal na utascroll storage location ulikoweka supersu na utachagua then utainstal na baada ya hapo utareboot cmu yako... kam ni samsung just download cf autoroot kwa hyo model yako then flash via odin, htc itakulazimu ufanye bootloader unlock from here htcdev.com then flash twrp na tumia twrp kuinstal supersu..... hope umepata basic knowledge
yeah thanks a lot then simu yenyewe ni Tecno W3
 
ukiona hvyo bac hyo cmu hapo ndo uwezo wake ulipoishia kwenye android 5 kwa oficcial method.. unaweza update to android 6 or7 by custom rom... unlock bootloader, kama utaweza kufanya s-off itakuwa much better though not much neccessary, flash twrp, tumia twrp kuinstL supersu, download custom rom ya version unayoitaka ie 6 or 7, weka kwenye phone storage au memorycard, boot phone to recovery, fany advanced wipe yaani data, cache, system then go back to home then click instal and scroll had ulipoweka custom rom then instal it.. most custom roms huwa hazina google apps so baada ya cmu kuwaka utagundua hakuna app yoyote related to google like play store, play music nk hvyo itakulazimu kudownload tena GAPPS package kulingana na hyo custom rom yako may be lineage or resurector remix nk then utainstal hyo GAPPS kama ulivyoinstal hyo custom rom then reboot system and enjoy
Nashukuru japo hivyo vitu sijui km ntaweza
 
Back
Top Bottom