Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Tatizo sio chaji, tatizo ni storage, na RAM kwa hyo kwanza angalia storage(memory ama internal) uhakikishe in a nafasi ya kutosha, pili kma haina pungza apps usizo na kaz nazo, hpo simu itakuwa clear
Mm natumia simu aina 2, moja Infinix not 4, storage ya simu ni 16, nimeweka memory card ya 8 gb, lakini nashindwa namna ya kuhamisha data kwenda kwenye memory card. Msaada please! Na Samsung galaxy prime, ina gb 8 storage, kuziongeza inakuaje?
 
Habari mkuu,simu yangu ilikuwa inasoma line za 3g,na 4g pia kuna jambo nilifanya imeacha kusoma 3g,inasoma line za 4g only,pia nikipiga simu haipiti na nikipiga menu fulani mfano menu za vifurush,kuangalia salio etc,inaandika "Connection problem or invalid MMI code,msaada please! Simu yangu ni ZTE bolton
 
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu kma spy, hack nkbali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0753093869
Pia tembelea Forum mpya hapa ya tuzungumze yenye uhuru na upana zaidi
www.tuzungumze.com

Kwa uundaji wa websites,blogs and forums professionally Wasiliana nami pia
Nina game langu nime-download pes2020 ,shida nikilifungua nacheza kidogo linakata, tatizo kinaweza kuwa Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom